Azam Ongezeni watu wanaotafsiri kazi za Sana za nje.

Azam Ongezeni watu wanaotafsiri kazi za Sana za nje.

nakataa kuamini dubbing inafanywa kwa kuangalia subtitles

inabidi dubber ajue lugha husika

mfano sentensi ya kiingereza "head in the clouds" ukiitafsiri kama ilivyo mtazamaji atapoteza maana kwasababu huo ni msemo unaomaanisha mtu kapoteza umakini

kuna mafunzo fulani inabidi upitie
Ungeangalia makala ya startimes wakionyesha jinsi watanzania wanavyofanya dubbing kule China ingekusaidia sana ila kwa kufupisha ni wanasoma Script wanaandikiwa wao ni kucheza na mdomo tu hakuna cha kujua lugha walioenda China hata kiChina hawajui dubbing ni sanaa ukitaka kufanya dubbing inabidi ujue kuigiza sauti
 
anayeandaa script ndo atakuwa anakula dau nono
 
nakataa kuamini dubbing inafanywa kwa kuangalia subtitles

inabidi dubber ajue lugha husika

mfano sentensi ya kiingereza "head in the clouds" ukiitafsiri kama ilivyo mtazamaji atapoteza maana kwasababu huo ni msemo unaomaanisha mtu kapoteza umakini

kuna mafunzo fulani inabidi upitie
Inakuja na subtitles.

Anayefanya dubbing hana haja ya kujua lugha husika.

Hua wanaendesha auditions ila kuanzia audition mpaka mtu kupata kazi kama hana connection hatokuja kuitwa
 
Program huweza kutengeneza sauti kulingana na physical apearance ya character mfano mtu kama ni bonge ita shape sauti kulingana na muonekano wake
Azam hawatumii Program yoyote Bali watu halisi wanaoingiza sauti kutokana na Script wanazopewa zinazokuwa zimetafsiriwa tayari kwa kiswahili.
 
Namuenzi huyu jamaa alikua ni jitu tajiri sana, lakini mbele ya kifo utajiri wake haukumsaidia ilibidi atumie mbinu yakujifanya anamtoto ili aweze kuokoa uhai wake.
Daaah mkuu hi muvi jana nimeicheki sana aiseeee..mkuu huu mzigo ulikua hatareeeee.

Tusibri namba mbili tuone maisha yalikuaje baada ya kupona aiseeeee
 
Lengo lenu ni zuri sana, lakini kitendo cha kazi nyingi za sanaa kutoka nje ya Tanzania zinazotafsiriwa kwa kiswahili kuwa na sauti zile zile kwa kazi tofauti tofauti, siyo sawa.

Itapendeza kama mtaweza kuwa na watia sauti tofauti wengi kuliko Kila kazi ya sanaa kutumia sauti zile zile za watia sauti.
Mkuu nadhan waliopewa tenda ambao mostly ni studio ya back yard ndio wenye watu wale wale. Karibu kazi zote ziwe azam, dstv zinafanyika pale.
 
Daaah mkuu hi muvi jana nimeicheki sana aiseeee..mkuu huu mzigo ulikua hatareeeee.

Tusibri namba mbili tuone maisha yalikuaje baada ya kupona aiseeeee
Bado wanandelea kuuza wako top 4 ya
 
Attachments

  • Screenshot_20241225_151341_Chrome.jpg
    Screenshot_20241225_151341_Chrome.jpg
    265.5 KB · Views: 2
Sasa hilo ni tatizo kubwa sana!!
Sema mkuu ile si kazi ndogo na ni gharama sana. Mimi nilishapata tenda ya kufanya voice over kwa tamthlia fulani ya kituruki na pesa ndefu sana ila ilibidi niipige chini. Ile kazi si ndogo aisee sema ina ela.
 
Mkuu nadhan waliopewa tenda ambao mostly ni studio ya back yard ndio wenye watu wale wale. Karibu kazi zote ziwe azam, dstv zinafanyika pale.
Sio kweli Azam wana studio yao palepale Tabata hivi hamfuatilii makala zao za dubbing mboni wana vipindi hivyo hua wanaonyesha behind nini kinachofanyika
 
Sema mkuu ile si kazi ndogo na ni gharama sana. Mimi nilishapata tenda ya kufanya voice over kwa tamthlia fulani ya kituruki na pesa ndefu sana ila ilibidi niipige chini. Ile kazi si ndogo aisee sema ina ela.
Hapo unazungumzia kuingiza sauti au kusimamia kuingiza sauti unazungumzia ugumu wa kazi kwa muongozaji au kwa muingiza sauti?
 
Back
Top Bottom