Azam Ongezeni watu wanaotafsiri kazi za Sana za nje.

Pia waanzishe channel za muziki aisee, mfano kuwe na documentary za muziki wa bongo flavor, wao wame base kwenye tamthilia na mpira tuu,
Watupie jicho na muziki
Ww unadhani n rahisi kuanzisha channel ya jambo moja pekee?
 
Sorry... Nimekosea jinsi ya kumtambulisha.

Kwa ivo ni kama unapata "daily briefing and updateds". Hapo lazima uheshimike kwa kuwa wewe ni chanzo sahihi kwa huu mjadala🙄
Allen una uhakika mimi sio chanzo sahihi cha taarifa kwenye huu mjadala? Hayaa 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…