Azam TV badilisheni Tamthilia zenye mlengo wa itikadi za kidini

Hiko chombo sio cha habar ni cha udini, yaaani wao na udini ni kulwa na dotto... Ukiona hata dini tofaut kaajiliwa hapo basi tambua ana akili kuliko wote waliopo ktk hiyo media...
 
Kama hupendi unaacha tu, binafsi ziwezi kulipia azam niangalie hizo tamthilia zao.
 
Hata ajira zao ni za kidini mno. Nadhani ukiudhika sana, achana nao tizama channel nyingine au tafuta king'amzi kingine
 
Acheni kupangia watu vyakufanya wakat hamkuchnagia ata 100 kwenye kuanzisha iyo iyo biashara
Daah hii ndo ufikiriaju wako mdogo wangu
Azam two ni chaneli ya dini gani
 
PLot ya movie imesetiwa miaka ipi na ukanda upi? Kama kila kitu kipo sawa kosa la azam silioni mkuu.

Hapa mdini ni wewe. Maana hata mimi umeniita "ndugu katika imani" wapi nilikutajia mimi ni wa imani gani mkuu? Au ndo ukiiponda simba wewe ni yanga bila kujali unaweza kua pamba fc?
 
Hiko chombo sio cha habar ni cha udini, yaaani wao na udini ni kulwa na dotto... Ukiona hata dini tofaut kaajiliwa hapo basi tambua ana akili kuliko wote waliopo ktk hiyo media...
Duuuh kumbe
 
Ni kweli nilijaribu kuangalia pia hizo series za kituruki zote zina mlengo wa kidini.
 
Ndugu yangu katika Imani ya kweli na haki, je wewe huamini katika ukweli na haki?
 
Hakuna Tamthilia isio na maudhui ya Dini, Tamthilia karibia zote za Kihindi zina maudhui ya Ki hindu, Ukiangalia za Telenova ama kifilipino utakuta maudhui ya kikristo, Uturuki ya kiisilamu etc. Hao Azam wanaonesha Tamthilia kibao, ukiona hio haikufai badilisha chanell angalia inayokufaa, kuwapangia Watanzania ama Azam kuangalia unachopenda wewe ni ujinga.
 
Daah hii ndo ufikiriaju wako mdogo wangu

Azam two ni chaneli ya dini gani
Hiyo ni channel ya entertainment zinarushwa movie mbalimbali
Mbona walionyesha movie inaitwa Lone survivor yenye maudhui inayoonyesha waislam ni magaidi na waislam hawajaja kulalamika?
 
Kwanini usidili na wale wako chini ya mamlaka yako. Kama unaona ina maudhui ya upande mmoja, suluhisho ni kutokuwa mteja wao ila ukisema uwapangie cha kuonyesha utakuwa hujawatendea haki pia.
 
Wanataka watu wasilimu kwa lazima
Halafu wa mlengo mwingine ndio wanafeli na kuonekana wadhalimu na dhaifu sana... yaani hata kubalance hizo filamu zao wanashindwa.🀣🀣🀣
 
Shida sio kuwa na maudhui ya kidini naomba unielewe ndugu yangu katika Imani
Shida ni kupambanisha Imani za watu, moja kuichora kama Imani safi na nyingine kuwaita wadhalimu hii si sawa, na tena wanatumia hadi nyenzo takatifu za Imani nyingine kudhihaki

Mbona bongo movie zipo movie nyingi tu ambazo huegemea desturi za kiislamu lakini bila kukashifi Imani ingine? Movie za madebe na hata Mohamed nurdin nyingi tu ziko hivyo
 
Hiyo ni channel ya entertainment zinarushwa movie mbalimbali
Mbona walionyesha movie inaitwa Lone survivor yenye maudhui inayoonyesha waislam ni magaidi na waislam hawajaja kulalamika?
Kama walionesha maudhui ya namna hiyo hawakufanya jambo sahihi na kama nyinyi wenye Imani yenu mlikaa kimya basi mna ujinga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…