Night Watch
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 2,092
- 2,126
Wanaiba kwa mtu ambaye hafatilii yale ma tamthiliya.
Nimejaribu kuiangalia hiyo Karma na Golden boy hata sielewi. Shunie Saint Anne
Basi nakesha cheka plus tu.
Dstv haitakuwepo maana inauzwa kwa CanalHatua nzuri, siku wakianza kurusha EPL ni rasmi watakuwa wamewazika DSTV
Hela wanayo?Warushe EPL kaburu akalime matikiti kwao.
Mabeki tatu wote wanaangalia AZAM TVWanaiba kwa mtu ambaye hafatilii yale ma tamthiliya.
Nimejaribu kuiangalia hiyo Karma na Golden boy hata sielewi. Shunie Saint Anne
Basi nakesha cheka plus tu.
Burudani kwa woteKaeni vizri tuendelee kuwaburudisha
Mwaka unaweza usiishe kaburu akanunuliwa na canal+ ya ufaransaWarushe EPL kaburu akalime matikiti kwao.
Ndio mkuu tunawapa burudani kwa usawaBurudani kwa wote
🤣🤣🤣 dah! Mm nmejionea tabu tuAzam TV Ina soko kwa wa mama wote wa uswahilini,nyumbani na Mabeki tatu
Nilizinyaka hizi ilikuwa chini ya kapeti, je ishakuwa rasmi?Dstv haitakuwepo maana inauzwa kwa Canal
Ndio kifuatachoTusubiri kupandishwa bei ya kifurushi
Nje ya mpira wa bongo hamna kitu kinanivutia azam.Mabeki tatu wote wanaangalia AZAM TV
Wale watu wote wa ushwahilini wanaangalia Azam Tv
Na huwaambii kitu.
Mimi hadi nimejifunza kuangalia sinema zetu,na Azam 2 naangalia Golden Boy japo nayo inazunguka hapohapo.
Baadaye nimekuja kugundua
DsTv inafuatiliwa na wababa na wakaka wapenda Soka la nje
Azam TV Ina soko kwa wa mama wote wa uswahilini,nyumbani na Mabeki tatu.
kabisa kabisaKama kuna mtanzania kuanzia leo ataendelea kuisema vibaya Azam media, atakuwa na matatizo binafsi!
Hili ni kampuni la kizawa limetengeza ajira nyingi sana! Hakika wanatuheshimisha watanzania!
sasa wasipojitangaza fedha zao watarudisha vipi,uneona kamera walizozindua leo? moja ni milioni 500 na wamenunua 6,vipi watarudisha fedha zao?Nje ya mpira wa bongo hamna kitu kinanivutia azam.
Ila uswahilini huwaambii kitu kuhusu azam, na pia jamaa wanajitangaza mno mno.
Haipiti siku hujasikia tangazo la azam media iwe redioni, au huko kwenye harakati utakutana nao tu wanazunguka na magari yao au myamvuli yao wanauza madishi.
Dstv iko poa sana tatizo gharama.
Tutasafirisha au tutazika hapahapa?Hatua nzuri, siku wakianza kurusha EPL ni rasmi watakuwa wamewazika DSTV
Tutafungia jiwe kiunoni na kutupia baharini, ushahidi usionekane. 😂Tutasafirisha au tutazika hapahapa?
Sijapinga kujitangaza kwao, nimemaanisha huko kujitangaza ndio kunafanya azam itumiwe sana Tz.sasa wasipojitangaza fedha zao watarudisha vipi,uneona kamera walizozindua leo? moja ni milioni 500 na wamenunua 6,vipi watarudisha fedha zao?
Kabisa muda siomrefuTusubiri kupandishwa bei ya kifurushi