Azam TV wazindua mitambo mipya ikiwemo VAR, kamera moja tu imegharimu Tsh. Milioni 500

Ingekuwa rahisi Kila mwenye channel angeweka channel zake iwe 8k kabisa na kurusha matangazo Kwa hd isingekuwa selling point
Hapo sikupingi kabisa mkuu.
Ila umeongelea issue za satelite hapo nilikua
Naomba ukapitie vzri mkuu
 
Hapana mkuu vya nyuma vilikua tofauti...
Mkuu, kwenye hili wala sina haja ya kumbishia mtu mana mm najijua n nani.
Ila kaa ukijua pale n wameongeza vifaa vipya vyenye ubora zaid ila ndio hizo hizo walizokuwa wanatumia.
Yn zile sio vifaa vipya machoni mwao mana tayar walikuwa wanatumia kama hvy mwanzo, yn n sawa na ww umenunua samsung S23 halafu ukaenda kununua samsung S24.
 
Kununua kamera mbili tatu za 500m kila moja haimaanishi mtu anahela kuliko serikal! Tuwe tunatumia akili kidogo.
JNHPP pekee yake trillon 6.55 Tsh zimelala pale.Hz pesa zinatosha kununua Al jazeera,BBC plus sky news achilia mbali hizo Azam,KBC,UBC etc
 
Ni kweli kabisa hapo tupo pamoja
Tume upgrade. Tupo pamoja nimukuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…