Azam TV wazindua mitambo mipya ikiwemo VAR, kamera moja tu imegharimu Tsh. Milioni 500

Hivi kwa wastani azam anawateja kiasi gani hapa bongo ambao hao wanalipa 25k kwa mwezi, kama wakiwa na wateja milioni 1,. Zidisha na elfu 25, anagonga kiasi gani kwa mwezi, je kwa mwaka? Bakhresa mpaka anafanya haya kaishaona biashara inamlipa SAAAANA.
 
Issue ni Kamera moja kuwa milioni 500?
 
Azam Media hana mpinzani wameleta kamera za 4k,seti ya Kamera moja inafikia 500M na pale zilikuwa Kamera zaidi ya Tano....ni balaa.
Azam wakipata kibali cha kuonyesha EPL na Uefa DSTV anakosa wateja.
Azam hawezi pata kibali cha kuonyesha EPL.
Alafu kulinganisha Azam na DSTV ni kulinganisha toroli na fuso. Kitendo cha Azam kununua camera tano za milioni 500 each ndio kinaleta headlines na kuonekana maajabu. Sasa kasome Canal+ imeweka dau la kiasi gani kuomba kuinunua DSTV. Zaidi ya trilioni nne za kibongo kununua about 65% ya shares
 
Naomba nkusahihishe mkuu
Sio kama HAWEZI" ila hiyo ni biashara
Kumbuka biashara inamuhitaji mtumiaji(mwananchi)
Ikiwa mwananchi hawezi hata kulipa 35k itawezazaje kuweza kununua haki ya kurusha EPL?
Kwahyo ni issue ya kibiashara na sio uwezo
Hawezi kununua haki ya kurudha kwa hela nyingi afu ategemee hasara
 
[emoji23]
 
Ni kweli kabisa mkuu.
Hata mi nimeongea juu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…