Azimia kuacha kuangalia video/picha za ngono 2023

Nyeto Ingekua ina madhara haya mnayosema aisee mtaani sijui ingekuaje!
Mkuu nikuulize swali kidogo

Je mambo ya aibu kama hayo unaweza kumwambia mtu?

Jibu hapana,maana ni kwamba hata ukiathirika utabaki na Siri yako,atakaye kuja jua ni mwenza wako Tu.

Kwahiyo huwezi jua ukubwa WA tatizo kwasababu tunafanya ni siri
 
Hakuna ushahidi wa kisayansi wa moja kwa moja unaothibitisha kwamba punyeto inapunguza nguvu za kiume kwamaana kupiga punyeto haina mahusiano na uzalishaji wa hormone ya testosterone ambayo ndio hormone inayoakisi ubora wa nguvu za kiume, madhara makubwa zaid ya punyeto ni addiction na uraibu mkubwa wa kutazama izo porns ata ukiwa na mwenza wako.
 
Ahsante Sana mkuu kwa kutuelimisha.Umegonga ndipo kabisa.
 
Niceee maelezo mazuri sana.
 
Uzi umekuwa wa Moto sasa🔥🔥 Protagonists vs Antagonists.
Kila mtu anavutia kwa upande wake.
 
Mkuu asante Sana Kwa kutupa chakula cha roho Kwa mara nyingine na ikiwezekana uchangie kila utapoona inafaa kufanya hivyo.

Kupitia comment za wadau tunaona kabisa tatizo ni kubwa kiasi gani.

Nimependa paragraph hii hapa Chini

((Punyeto inayochosha uume ni ile ya kusugua uume mzima ,yani mtu anasugua uume wake kwa mkono toka kwenye kichwa cha uume hadi kwenye shina la uume,na pengine anaweza asiwe anafika kwenye shina moja kwa moja ila akawa anacheza na katikati na kwenye kichwa,hapo lazima uume ulegee mana mishipa itakuwa inashughurishwa si kitoto.
Kuna wengine huwa wana cheza na kichwa tu ,hawa angalau kupatwa na tatizo la ulegevu))

Imetuongezea kujua namna ambavyo Uume huathirika.

dronedrake ebu pitia hapa
 
sifiki kwenye shina, nashuka chini ya kichwa cha mb<><> kidogo narudi juu, Repeat,

na natumia babyCare, yajaribu uone

sikawii kukojoa, dk moja ni nyingi sana protini hizi hapa na wala situmii nguvu kama unavyokazia hapo,

swali ambalo hutaki kujibu, ni mda gani hasa misuli inaanza legea ? maana nna miaka mitatu solid kwenye industry, na nanyuka mara 4 kwa siku, siku za mvua mpaka mara 6 KILA SIKU

mnaongea kihisia zaidi, narudia tena facts hamuna
 
VIjana boys schools huko wanapiga mpaka wanamaliza na hawana madhara yoyote. Unaweza kuta baba yako mzazi alipiga sana tu. Hii kitu inaondokaga automatically unless utengeneze addiction. Na addiction si hilo tu kuna pombe, chakula, uongo n.k

Porn ni mbaya ndio, na ukitaka kuacha porn jitahidi kuwa busy. Unakosa kazi unakaa masaa chumbani unadhani utafanyaje?
 
Apo kwenye athari za kiroho nimepaelewa zaidi na ndipo panapotakiwa tupashike zaidi,asantee[emoji120][emoji120]
 
Ila mwisho wa yote zinaa mbaya sana wakuu..inaharibu sana positive energy,unaweza kuhisi umerogwa! Tumuombe sana Mungu,dunia hii sio ile waliyoishi mababu zetu,vishawishi vya kila aina...ila wanawake nao ni mtihani mkubwa..ukiweza kuishi nao kwa akili na kuwaepuka basi angalau utapiga hatua!
 
Dah wewe ni konki katika hizo kazi na umebobea haswaaa!

Jibu la kwanza ni Hilo kama alivyosema The email kwamba inategemea je unajichua vipi?

Sasa Kwa jinsi unavyojichua wewe naamini kabisa unaweza kupitisha hata miaka 20 ukawa fresh

Ila

Bado hautakuwa salama unajua Kwa nini?

Kwasababu bado utakuwa unakojoa fasta Sana yaani ukiwa na mwanamke ndani ya sekunde 30 au dakika moja ushamwaga.

Unajua kwa nini?

Kwasababu ubongo wako umeshapokea ujumbe kuwa hitajio la sex ni kumwaga fasta na subconscous mind yako imerekodi hivyo na ndo utakuwa hivyo siku zote

Utakuja kukumbuka maneno yangu baadae
 
Sasa Kwa jinsi unavyojichua wewe naamini kabisa unaweza kupitisha hata miaka 20 ukawa fresh
mkuu naona unabadili gear angani sasa

yaani ukiwa na mwanamke ndani ya sekunde 30
nisex na mwanamke ili iweje ilihali nyeto inanitosheleza ? nani anataka meza NJUGU maisha yake yote ? em rejea baadhi ya comments zangu za nyuma

Utakuja kukumbuka maneno yangu baadae
hapana si kweli, shout out kwa aliyegundua nyeto, kama angekua hai ningem donate hata kwa dolari kadhaa kwa kweli
 
Mkuu nakubaliana na maoni yako lkn napinga la kusema hao jamaa wa bodi skuli hawana madhara yoyote

Je unaweza kudhibitisha vipi?

Kwa mfano je unajua kumwaga mapema ni kutokana na madhara ya kupiga nyeto?
 
Apo kweli nakubali,ubaya wa punyeto ni the way inavyochange akili yako kama ni dakik 1 ata ukiwa na mwenza wako utoboi zaidi ya dakik 1 maana mindset yako imejijenga kwnye nyeto uliyozoea.
 
Mkuu wala sijabadili nilikuwa nakuambia baadhi ya sababu kwanini mwingine aathirike haraka ni jinsi gani anajichua

Sasa jibu lingine ni mda gani huchukua mpaka mtu kuathirika ngoja nifanye utafiti
 
Apo kweli nakubali,ubaya wa punyeto ni the way inavyochange akili yako kama ni dakik 1 ata ukiwa na mwenza wako utoboi zaidi ya dakik 1 maana mindset yako imejijenga kwnye nyeto uliyozoea.
Ndio ilivyo hiyo mkuu,kwahiyo tunaposema haya mambo Yana Athari ni kweli Ila baadhi wanaleta ligi kujifariji na kuendelea na michezo hiyo ya hatari
 
huwezipata jibu maana ni uongo
Siku utapoona haja ya kutaka kuoa maana huwezi piga Puri milele

Ukiona unakojoa haraka na huwezi piga cha pili Hadi kesho usione kuwa umerogwa.

Hilo usisahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…