Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
- Thread starter
-
- #61
Kuathirika Sana inamaana uume umedhoofika kwasababu misuli yake imelegea Sana kushindwa kuifanya uume usimame kabisa au ukisimama basi unakuwa lege lege hivi hata kuingia katika papuchi inakuwa shida.Kiathirika Sana inakuwaje
One week jombaaHow long inachukua mtu aliyeathirika na nyeto mpk mtu uume kurudi kuwa imara?
Nyeto ni janga, porn zinavutia...ila kila kizuri kina hasara!
Mkuu punyeto nayo ni janga ambalo utakuja kuona madhara yake hapo baadae, baada ya Mda Fulani unaua mishipa ya kwenye uume na kujikuta baadae hausimamishi vizur au kushindwa kabisa kupiga show
❤️ Kuazimia ni kama kuweka msisitizo zaidi au kujiwekea ahadi mtu binafsi kuwa naamua Kwa dhati ya moyo wangu kuacha hili Jambo na kuhakikisha kuwa nafanikiwa.Kwani mpaka kuazimia ❤ ? Si unaacha tu
❤nimekuelewa love❤️ Kuazimia ni kama kuweka msisitizo zaidi au kujiwekea ahadi mtu binafsi kuwa naamua Kwa dhati ya moyo wangu kuacha hili Jambo na kuhakikisha kuwa nafanikiwa.
Kama umenielewa wewe basi inatosha kabisa kipenz changu❤nimekuelewa love
👊❤Kama umenielewa wewe basi inatosha kabisa kipenz changu
😘😘😘
Mkuu ujue unataka kuzingua Tu,,,kweli unaweza kufananisha nyeto na mrembo pale Kati?[emoji23][emoji23][emoji23] sasa punyeto na show ina tofauti gani
Mkuu ujue unataka kuzingua Tu,,,kweli unaweza kufananisha nyeto na mrembo pale Kati?
Hahahahahahaha kaka mkubwa umenichekesha sana, inaonesha unajichukulia sana sheria mkononi kakaKuacha kuangalia video za ngono na kupiga nyeto Ni shughuli pevu Sana.
Punyeto ndio balaa lenyewe Sasa yaani kuacha hii labda ufe tu jamani.
Nakazia hapo mkuu Kazakh destroyerKuna mama mmoja alipiga simu kwa kiongozi mmoja wa dini kuwa afanye haraka mno aende kwake kuna tatizo, basi yule kiongozi akachukua vijana kama watatu wakafuata location.
Walipofika yule mama akawafungulia mlango akawakaribisha vizuri kisha akawaelekeza mlango wa mbele yake akamwambia yule kiongozi nyie nendeni tu ingieni moja kwa moja.
Walipoufungua ule mlango ghafla! wakamkuta kijana wa kiume mwenye umri kati ya miaka 18 mpaka 25 akiwa uchi wa mnyama na mbele yake kuna laptop screen inaonesha video chafu ikiwa paused, jambo baya zaidi yule kijana akiwa amefariki tayari huku akiwa na athari ya kufanya punyeto muda mfupi uliopita na akafa katika hali hiyo.
Yule kiongozi akabaki kimya asijue cha kufanya kwa haraka, mama yake yule kijana marehemu akawa analia tu kwa kwikwi anamuuliza yule mtu wa hekima; "vipi kwa mwisho huu wa mwanangu, itakuwaje?" yule kiongozi asijibu lolote.
ushauri wangu, ndugu zangu ambao bado tunasumbuliwa na mihemko ya ujana au matamanio tuwe makini sana na hizi tabia tunazofanya tukiwa peke yetu maana ikitokea equation ikabalance basi aibu yake tunawaachia watu wetu wenye heshima kama mama, baba na watoto au mke.
Mwenye masikio na asikie.
Naweza kukuelekeza dawa nzuri unaacha pombe siku hiyohiyo bila fimbo, ila andaa laki 3 net ya kubrashia viatu.Kwa mimi kesi yangu ni ulevi nataka kuitumia kujipima siku nitakazokaa bila kunywa kamnyweso
Kazi kwake mkuu au sio , au kusuka au kunyoa.Naweza kukuelekeza dawa nzuri unaacha pombe siku hiyohiyo bila fimbo, ila andaa laki 3 net ya kubrashia viatu.
Liko pomoni mkuu.Hongera mkuu endelea kujaza buti
Itabidi uwe na kisado hahahaLiko pomoni mkuu.
Siku ya kutoa wazungu hawatoisha.