Azimia kuacha kuangalia video/picha za ngono 2023

Azimia kuacha kuangalia video/picha za ngono 2023

kujikamua mwenyewe kwa mkono wako
yeah self-gratification
mda wowote ule, haina sijui leo niko period, sijui leo nimechoka, sijui piga kimoja tu, sijui sijisikii, sijui nitumie nauli nije, sijui niko dry leo, haina harufu , unapiga zozote zile, huna mashaka na kupata UTI wala Gono wala Ngoma
 
Watu Wana malengo mengi Sana kila mwaka mpya ukianza na mengine ni Makubwa mno hata hayatekelezeki hata katika ndoto kwasababu hakuna ajuaye kesho yake, ingawa hii haitufanyi tusiache kuweka malengo.

Ndugu zangu ili tufanikiwe basi tunahitaji Sana msaada wa Mwenyezi Mungu, kwani si akili zetu pekee au ujanja wetu ambao unatuwezesha kutimiza malengo yetu pasina msaada wake.

Lakini tutakuwaje karibu na Mola wetu wakati kila siku tunaangalia mambo ya haramu?

Na mambo hayo ndio hutuhamasisha zaidi kufanya zinaa,kwasababu porn ina kawaida ya kumfanya mtu apate matamanio ya Hali ya juu na mwisho wake anaishia kuzini.

Porn ndio inayohamasisha watu kufanya mapenzi kinyume na maumbile,watu wengi Sana siku hizi kutokana na kuathirika na video za ngono katika mitandao wamejikuta ni wahanga wakubwa WA kutaka kujaribu mambo ambayo huyaona huko katika porn.

Tubadilike ndugu zangu porn zinatuweka mbali na utukufu wa Mola wetu, kuangalia utupu ambao sio WA mume wako au mke wako ni haramu na INA mchukiza Sana muumba wetu.

Lakini hata ukija katika mazingira ya kawaida Tu,porn huwafanya watu kuwa tegemezi kwenye ngono,yaani hata akiwa na mkewe au mumewe ndani basi hawezi sisimka mpaka avute hisia za kwenye porn ndio aweze kupata hamasa na hamu ya Kula tunda na mwenza wake,je huo sio utumwa WA hisia?

Na humpunguzia hamu ya kuwa na mwenza wake pia,just imagine kila siku unaangalia utupu WA wanawake wangapi tena WA Aina mbali mbali, matokeo yake hata mkeo akiwa mtupu faragha na wewe hakuna kipya kwake kwasababu unaangalia za walatino,wabrazil,wachina,wahindi na listi inaendelea.

Vile vile porn iko na uraibu mkubwa Sana,yaani unakuwa Teja kiasi ambacho ukiwa Peke yako unatamani kuangalia huo uchafu, kuna mtu siku moja alionwa anaangalia porn ndani ya daladala, ebu just imagine mpaka unafikia kuangalia hayo madudu katika usafir WA umma ujue wewe tayar ni Teja la 5G.

Nadhani mnakumbuka Kule mjengoni kuna mbunge alionekana katika cctv camera yupo bungeni watu wanachangia mijadala lkn yeye anaangali porn.

Huu uraibu ni mbaya Sana,na ndio huwafanya watu kujichua kufanya masterbation na matokeo yake baada ya Mda mishipa ya uume hulegea na kuwafanya vijana kukosa nguvu za. Kiume.

Kuacha Kuangalia Porn ni Vita kubwa kuliko hata ya mrusi na Ukraine,inahitaji upambane haswa kushinda hizo temptation za kuangalia hayo madudu na hasa kama umekuwa na uraibu mkubwa.

Utaepuka mambo mengi Sana yenye kuzuru nafsi yako na mwili wako kama utafanikiwa kuacha kuangalia porn movies.

Weka Nia thabiti na azimia kwa nafsi yako na moyo wako wote kuwa no mor e porn 2023.

Mungu awabariki Sana.

Nawapenda Sana.

Kutoka kwangu ETUGRUL BEY

Ni hayo Tu!
eugru bey well said umeongea point nzuri tusimkufuru Mungu kweli tumrudie Mungu
 
yeah self-gratification
mda wowote ule, haina sijui leo niko period, sijui leo nimechoka, sijui piga kimoja tu, sijui sijisikii, sijui nitumie nauli nije, sijui niko dry leo, haina harufu , unapiga zozote zile, huna mashaka na kupata UTI wala Gono wala Ngoma
Hii ndio sababu iliyonipelekea niseme miaka10-20 tutakuwa na kizazi cha watu wazima wa hovyo kupata kutokea.
 
Hapana Kaka hakuna mkate mgumu mbele ya chai.

Usiseme ngumu kama hujapambana mpaka mwisho wa jitihada zako zote, Kwanza Anza kuzichukia na zione ni adui kwako na maisha yako.

Pili tafuta namna ya kuhakikisha unazikwepa kwa namna yoyote Ile,kuna app nadhan ambazo zipo kukuwezesha kwanza usipate access ya Kuangalia hizo video, fanya hivyo block vyanzo vyote ambavyo vina kuwezesha kuangalia hizo video.

Ukiwa Peke yako hakikisha unajishughulisha na jambo lingine au kuangalia kitu kingine ili mradi usishawishike kuangalia hizo video

Kama huna mke au demu wa uhakika ( kwa maana kila unapomuhitaji anafika kwa wakati) itakuwa ni kazi bure.

Utafiti wangu unaonyesha waathirika wakubwa wa kujichua ni watu wasio na wenza.
 
Kuacha chief ni muhimu Sana kwasas hivi unaweza usione athar yoyote lkn baada ya muda ndio utaona balaa lake.

Kama wanavyosema wadau ni ngumu mno kuangalia porn halafu usipige nyeto, na ngozi ya uume ni laini pamoja na mishipa yake iliumbwa kuingia katika uke laini,lkn sasa unapiga nyeto na mkono na unatumia nguvu ya ziada je unadhani utakuwa salama mkuu?

Lkn pili baada ya Mda ubongo wako utaamini kuwa porn sex ndio sex ya ukweli hivyo utakuwa unahamasika na hizo video chafu kuliko mwanamke halisi,Kwa maana ili uweze kusex na mwenza wako basi utahitaji kukumbuka hizo video ndio uhamasike kufanya sex na mwenza wako,je huoni Hilo ni tatizo tayar?

Acha mkuu sema hapana Kwa hizo video

Naunga mkono hoja mkuu, tuazimie kuacha kwa nguvu zote.
 
Porn si nzuri ki afya ya mwili na roho,huondoa nguvu za kiroho na kumfanya mtu kuwa mtupu,nguvu za kiroho ndio zinazoongoza kwa mvuto wa mtu,ndio ile mmoja anachaguliwa mmoja anaachwa.

Utazamaji wa porn upo sambamba na punyeto,huwezi kusema wewe huwa unatazama tu porn ila hupigi punyeto ...ni nadra sana hii japo inawezekana .
Punyeto si nzuri na kama inawezekana basi ni bora kuiacha mara moja.

Mitandao nayo ina chochea sana utazamaji wa porn ,si twitter , instagram au wap,pote huko ni balaa tupu
We kama ni mhanga wa porn na nyeto ni bora kufuta apps zote zinazokupa acess ya kutazama huo uchafu,futa twitter,futa instagram.

Na twitter siku izi ndo kuna porn za kutosha tena za watoto wa uswahilini kabisa, kila ukijaribu kufungua tu twitter huwezi kumaliza mda bila kukutana na maudhui ya ngono.Soo sad!

Mimi napenda sana twitter ila kutokana na maudhui ya ngono nimeamua kuacha kuitumia kama instagram tu,nina miaka sijui kianachoendelea huko.

Nachotaka kusema porn ni adui wa maendeleo yako binafsi ,porn hupelekea mtu kuwa mtumwa wa nyeto ,na vipaumbele vyako kutotimilizika ,kuwa mtu usiye tumainika,mtazaji wa porn yupo tayari hata kufanya ngono na ndugu yake.
Porn hufanya mtu kutojiamini na kuwa mtu mwenye kujiona na hatia mda wote,unakuwa umenajisika mda wote,na neema au mambo mazuri kukutana nayo inakuwa nadra mana unakuwa ni chukizo mbele za Mungu.Hata ukienda kwenye usaili kukandwa inakuwa ni kawaida yako,unakuwa mtu wa kukataliwa.mtu usiye na neema

Amua leo kuacha kabisa kutazama picha hizo kama unauhitaji wa kuacha.Ila kama hauhitaji kuacha we utaja acha siku madhara yake yatakapo jidhihirisha
bro nakuomba PM tafadhali
 
nyeto ni BORA kuliko mrembo, warembo wa sasa brek pvmbv, mnato umeyeyuka tangu umri wa miaka 12

nyeto una adjust kiganja tu size uipendayo, ukitaka mwaga haraka unakibana, punde si punde vitamin D hii hapa, swafi kabisa
Hahahah dah we Noma Sana ujue
 
Porn si nzuri ki afya ya mwili na roho,huondoa nguvu za kiroho na kumfanya mtu kuwa mtupu,nguvu za kiroho ndio zinazoongoza kwa mvuto wa mtu,ndio ile mmoja anachaguliwa mmoja anaachwa.

Utazamaji wa porn upo sambamba na punyeto,huwezi kusema wewe huwa unatazama tu porn ila hupigi punyeto ...ni nadra sana hii japo inawezekana .
Punyeto si nzuri na kama inawezekana basi ni bora kuiacha mara moja.

Mitandao nayo ina chochea sana utazamaji wa porn ,si twitter , instagram au wap,pote huko ni balaa tupu
We kama ni mhanga wa porn na nyeto ni bora kufuta apps zote zinazokupa acess ya kutazama huo uchafu,futa twitter,futa instagram.

Na twitter siku izi ndo kuna porn za kutosha tena za watoto wa uswahilini kabisa, kila ukijaribu kufungua tu twitter huwezi kumaliza mda bila kukutana na maudhui ya ngono.Soo sad!

Mimi napenda sana twitter ila kutokana na maudhui ya ngono nimeamua kuacha kuitumia kama instagram tu,nina miaka sijui kianachoendelea huko.

Nachotaka kusema porn ni adui wa maendeleo yako binafsi ,porn hupelekea mtu kuwa mtumwa wa nyeto ,na vipaumbele vyako kutotimilizika ,kuwa mtu usiye tumainika,mtazaji wa porn yupo tayari hata kufanya ngono na ndugu yake.
Porn hufanya mtu kutojiamini na kuwa mtu mwenye kujiona na hatia mda wote,unakuwa umenajisika mda wote,na neema au mambo mazuri kukutana nayo inakuwa nadra mana unakuwa ni chukizo mbele za Mungu.Hata ukienda kwenye usaili kukandwa inakuwa ni kawaida yako,unakuwa mtu wa kukataliwa.mtu usiye na neema

Amua leo kuacha kabisa kutazama picha hizo kama unauhitaji wa kuacha.Ila kama hauhitaji kuacha we utaja acha siku madhara yake yatakapo jidhihirisha
Mkuu sina la kusema zaidi ya kusema

Uishi maisha marefu hakika umetupa chakula cha roho kwa ujumbe wenye Tani nyingi za kutosha
 
Kuna kisa nilikisikiliza kutoka kwa shk Yusufu Abdi wa Mombasa alielezea kua kuna jamaa alikua akitizama porno kisha mwanae mdogo akaingia chumbani ghafla kukuta baba yake akitizama uchafu huo na mtoto huyo akatoka mbio akisema baba aibu aibu, ndugu yule alishughulishwa akaona aelekee masjid kwa aibu ile nakudhamiria kubadilika,
Baadae anarudi nyumbani anakuta mwanae yule amefariki, na imekua ni mawaidha kwake daima anasema atasikia milele ile sauti ya mwanae ikisema aibu aibu baba na nadhan ndo sababu ya kuacha kutizama porno
Dah inasikitisha Sana jamani

Huyo Mzee naamini kabisa Hilo tukio limemtafuna Sana tena sana
 
Nimejitahidi wee lakini wapii ila hivi sasa nmedhamilia maana Toka Mwaka umeanza sija chungulia huko.
Kitu Kikubwa ni dhamira njema mkuu, kama ukiamua kwa dhati ya moyo na kuona hiki ninachofanya sio sahihi kuna uwezekano mkubwa kushinda hii Vita.

Naamini unaweza mkuu endelea kupambana kwa mustakabali WA nafsi yako na roho yako pia
 
Vipo vitu vya kuacha ukivianza lakini sio hicho milango mingine ina njia ya kuingilia tu na haina milango ya kutokea
 
Kama huna mke au demu wa uhakika ( kwa maana kila unapomuhitaji anafika kwa wakati) itakuwa ni kazi bure.

Utafiti wangu unaonyesha waathirika wakubwa wa kujichua ni watu wasio na wenza.
Hiyo kitu ikiwakolea wanamuacha mke chumbani wanaenda kuchukua sheria mkononi bafuni, mambo ya aibu sana.
Kama huna mke au demu wa uhakika ( kwa maana kila unapomuhitaji anafika kwa wakati) itakuwa ni kazi bure.

Utafiti wangu unaonyesha waathirika wakubwa wa kujichua ni watu wasio na wenza.
 
Vipo vitu vya kuacha ukivianza lakini sio hicho milango mingine ina njia ya kuingilia tu na haina milango ya kutokea
Milango ya kutokea ipo tatizo mnajiendekeza na kuendekeza hiyo mihemko yenu ambayo mtendaji wa kata tu akiwa mbele yako unatetemeka kwa hofu, mihemko yote inarudi 0.3% ukiwa peke yako ndo unajifanya umeshindwa kuacha.

Na sasa hivi naona watu wengi wanaelekea kuwa wehu kuna kesi kadhaa za watu kufanya punyeto hadharani baada ya kuona mwanamke fulani anaevutia, hili ni sawa na kusema sasa watu wamefikia kilele cha utaahira kwenye hili jambo.
 
Back
Top Bottom