Azimia kuacha kuangalia video/picha za ngono 2023

Azimia kuacha kuangalia video/picha za ngono 2023

Lete ushahidi
Mpishi tu wa chakula cha shughuli akikaa jikoni mwanzo mwisho anakosa ile hamu ya chakula kwa kule kukiangalia na kusikilizia harufu muda wote.

Vipi kwa jambo sensitive kama tendo la ndoa? yaani ukae unatizama maviungo ya uzazi ya watu tofauti siku nzima mengine meusi mabaya na uchafu usiozungumzika halafu usipate physiological damage?.

Wewe najua umeshafika 40s huna cha kupoteza, waelezeni ukweli hawa vijana sisi tuko field tunaona matatizo yao, hakuna kitu watakuja kufanya wakifika huko kwenye 40s maana ni kizazi dhaifu mno kwa kujiharibu wakiwa wadogo.
 
Tafuta mwanamke tu

Atakukeep busy

Porn na nyeto ni mvurugano wa kisaikolojia

Utakubidi uache la sivyo utashindwa kuperform vizuri huyo mwanamke.
 
Tafuta mwanamke tu

Atakukeep busy

Porn na nyeto ni mvurugano wa kisaikolojia

Utakubidi uache la sivyo utashindwa kuperform vizuri huyo mwanamke.
 
Mpishi tu wa chakula cha shughuli akikaa jikoni mwanzo mwisho anakosa ile hamu ya chakula kwa kule kukiangalia na kusikilizia harufu muda wote.

Vipi kwa jambo sensitive kama tendo la ndoa? yaani ukae unatizama maviungo ya uzazi ya watu tofauti siku nzima mengine meusi mabaya na uchafu usiozungumzika halafu usipate physiological damage?.

Wewe najua umeshafika 40s huna cha kupoteza, waelezeni ukweli hawa vijana sisi tuko field tunaona matatizo yao, hakuna kitu watakuja kufanya wakifika huko kwenye 40s maana ni kizazi dhaifu mno kwa kujiharibu wakiwa wadogo.
uzi umejaa fantasies na hisia, hakuna facts
 
sita sex naye, lazima nimpeleke Aga Khan akapime Ngoma, Gono, UTI , Kaswende, Warts, Herpes, HPV, Homa ya Ini

sasa shida hiyo yote ya nini ?

afya yangu ni bora kuliko sex, na-stick na Nyeto
Mbona unaota sana hayo magonjwa? au unadhani mke ni hao mabinti wa temeke sudan.
 
Watu Wana malengo mengi Sana kila mwaka mpya ukianza na mengine ni Makubwa mno hata hayatekelezeki hata katika ndoto kwasababu hakuna ajuaye kesho yake, ingawa hii haitufanyi tusiache kuweka malengo.

Ndugu zangu ili tufanikiwe basi tunahitaji Sana msaada wa Mwenyezi Mungu, kwani si akili zetu pekee au ujanja wetu ambao unatuwezesha kutimiza malengo yetu pasina msaada wake.

Lakini tutakuwaje karibu na Mola wetu wakati kila siku tunaangalia mambo ya haramu?

Na mambo hayo ndio hutuhamasisha zaidi kufanya zinaa, kwasababu porn ina kawaida ya kumfanya mtu apate matamanio ya Hali ya juu na mwisho wake anaishia kuzini.

Porn ndio inayohamasisha watu kufanya mapenzi kinyume na maumbile, watu wengi sana siku hizi kutokana na kuathirika na video za ngono katika mitandao wamejikuta ni wahanga wakubwa wa kutaka kujaribu mambo ambayo huyaona huko katika porn.

Tubadilike ndugu zangu porn zinatuweka mbali na utukufu wa Mola wetu, kuangalia utupu ambao sio WA mume wako au mke wako ni haramu na INA mchukiza Sana muumba wetu.

Lakini hata ukija katika mazingira ya kawaida Tu, porn huwafanya watu kuwa tegemezi kwenye ngono, yaani hata akiwa na mkewe au mumewe ndani basi hawezi sisimka mpaka avute hisia za kwenye porn ndio aweze kupata hamasa na hamu ya Kula tunda na mwenza wake,je huo sio utumwa WA hisia?

Na humpunguzia hamu ya kuwa na mwenza wake pia, just imagine kila siku unaangalia utupu wa wanawake wangapi tena wa Aina mbali mbali, matokeo yake hata mkeo akiwa mtupu faragha na wewe hakuna kipya kwake kwasababu unaangalia za walatino, wabrazil, wachina, wahindi na listi inaendelea.

Vile vile porn iko na uraibu mkubwa Sana, yaani unakuwa Teja kiasi ambacho ukiwa Peke yako unatamani kuangalia huo uchafu, kuna mtu siku moja alionwa anaangalia porn ndani ya daladala, ebu just imagine mpaka unafikia kuangalia hayo madudu katika usafir WA umma ujue wewe tayar ni Teja la 5G.

Nadhani mnakumbuka Kule mjengoni kuna mbunge alionekana katika cctv camera yupo bungeni watu wanachangia mijadala lkn yeye anaangali porn.

Huu uraibu ni mbaya Sana,na ndio huwafanya watu kujichua kufanya masterbation na matokeo yake baada ya Mda mishipa ya uume hulegea na kuwafanya vijana kukosa nguvu za. Kiume.

Kuacha Kuangalia Porn ni Vita kubwa kuliko hata ya mrusi na Ukraine,inahitaji upambane haswa kushinda hizo temptation za kuangalia hayo madudu na hasa kama umekuwa na uraibu mkubwa.

Utaepuka mambo mengi Sana yenye kuzuru nafsi yako na mwili wako kama utafanikiwa kuacha kuangalia porn movies.

Weka Nia thabiti na azimia kwa nafsi yako na moyo wako wote kuwa no mor e porn 2023.

Mungu awabariki Sana.

Nawapenda Sana.

Kutoka kwangu ETUGRUL BEY

Ni hayo Tu!
Heading sasa...isomeke AAZIMIA...
 
Kuna huyu madam anaitwa Mademoiselle huwa namkubali Sana Kwa comment zake mbali mbali

Kama hutojali tafadhali naomba utie neno hapa kidogo

Ila kama mada imekaa kushoto Sana kwako, usijali madam
Asante sana kwa kunipa hii heshima mkuu. Am honored kwakweli. Lakin aliekwambia ndani ya akili yako kwamba uniinvite kuchangia hajakosea.

Kitambo kidogo...nilishakuwaga na huu uraibu. Nimeteseka sana kuuacha..sana tu. Kila mtu ana shit ameshawahi pitia in life, well this is mine. Sasa unachokisema si uongo. Porn and Masturbation ina uraibu mbaya sana.

Sikuwaga na feeling na wanaume at all. Ilinipelekea niwe mtu flani nunda sana..extreme. Ikaniharibu saikojia maana always nilitakaga kuwa alone, mwenyewe mwenyewe, kivyangu vyangu. Ikanitengezea fake independence kujiona naweza kila kitu. Imenichukua muda mrefu kuishinda hii tabia.

Side effects: sawa ile ukicome unapata raha maana organs umezistimulate, na ubongo umereceive something you think is nice, lakin sasa shida ni kwamba viungo vya uzazi vinapata effect, ambazo zimeshaandikwa na shida kubwa zaidi ni ya kiroho. Partnership tunazofanya na hawa watu kwenye videoz, spiritual exchange zinazofanyika si kitoto.

Maana unakuwa enticed kufanya na wengi, sasa vitabu vya dini vyote vinakataza zinaa, waganga tu wanakatazaga uchafu hasa kama kuna specific directions kwa kitu unachokitazamia, majini tu ukiwa nao kuna wengine hawataki uzini..likikuvaa halitaki ukito****** ovyo, wewe ni nani?? kila unachofanya unajisikia kuhukumiwa, ukitaka kusali ama swali picha ama clip ya mriah mills, cherokee, sara j, darcie dolce inakujia kichwani alivyokua ananyonywa ndogo huku ananengua..ama nina kayy alivyokua anatwerk huku inaingia..saa ngapi utaswali ama kusali, saa ngapi utawaza maendeleo ndugu yangu. Maana unavyozidi kuwaza, unazidi kutamani, huyooo pornhub, kutafuta ingine yenye mikiki zaidi ili uenjoy.

Hata ukiwa prodctv utafanya asilimia 40 tu na utajiona ooh mbona nafanya kazi napata hela..lakin kiuhalisia umechunda..60 yote unampa bwana shetty. Hatimae sasa tamaa itazidi kuzaa dhambi, utatamani kufanya zaid...ukikutana na mshkaji ama manzi..wewe unataka upractise...na nikwambie hizi sexual fantasies watu tunazo ni porn after-effect, utazila ndogo mwshoe utatatman za wanaume wenzako...mtakataa hapa kwmba laana sijui nini lakin nimekutana na case katika counselling mwanaume ananiambia wazi j...nimechoka wanawake, sikuwah kupata wazo la kula wanaume wenzangu lakin hii porn stuff..na kula wanawake wengi mpaka kuja kuzoea kula ndogo imenipelekea nianze kuwaangalia wanaume wenzangu kwa jicho la pili. Anafaa kunywa vinywaji vikali ili alale maana he is so confused. Alishapata good women maishan mwake lakin kwa sabbu ya huu uraibu hawezi kuishi nao kw amani.

Mungu kasema anatupa akili katika mambo yote..na anatufundisha ili tupate faida, sasa kama tunaengage kwenye hizi addictions..tutasali ama swali kwa nani? Kama alivyonisaidia mimi, akusaidie na wewe ufanikiwe kuachana na hii addiction ili ubetter your life..and kama unaona am bluffing ni sawa..nilikua kama ama zaid yako...do what you like...neno langu si sheria anyways. Mkawe kheri na baraka kwenye maisha yenu yote. One love...
 
phuck family, Nyeto mpaka kufa
Mwanaume aliyekamilika hawezi kuwa na mawazo kama hayo labda kama unafanya utani,nyeto tofauti sana na kuwa na mwenza coz utakosa vitu vingi sana vya msingi kwa uhitaji wa mwanadamu.
 
sifanyi utani

kama vipi ?
Kuacha nyeto sio rahisi kwanza inabidi ujiandae kiakili bwana nimeamua kuacha nyeto pia kama unakawaida ya kukaa sana ndani au kuwa mpweke jaribu kujichanganya
 
Kuacha nyeto sio rahisi kwanza inabidi ujiandae kiakili bwana nimeamua kuacha nyeto pia kama unakawaida ya kukaa sana ndani au kuwa mpweke jaribu kujichanganya
siachi
 
Back
Top Bottom