Azimia kuacha kuangalia video/picha za ngono 2023

Lete ushahidi
Mpishi tu wa chakula cha shughuli akikaa jikoni mwanzo mwisho anakosa ile hamu ya chakula kwa kule kukiangalia na kusikilizia harufu muda wote.

Vipi kwa jambo sensitive kama tendo la ndoa? yaani ukae unatizama maviungo ya uzazi ya watu tofauti siku nzima mengine meusi mabaya na uchafu usiozungumzika halafu usipate physiological damage?.

Wewe najua umeshafika 40s huna cha kupoteza, waelezeni ukweli hawa vijana sisi tuko field tunaona matatizo yao, hakuna kitu watakuja kufanya wakifika huko kwenye 40s maana ni kizazi dhaifu mno kwa kujiharibu wakiwa wadogo.
 
Tafuta mwanamke tu

Atakukeep busy

Porn na nyeto ni mvurugano wa kisaikolojia

Utakubidi uache la sivyo utashindwa kuperform vizuri huyo mwanamke.
 
Tafuta mwanamke tu

Atakukeep busy

Porn na nyeto ni mvurugano wa kisaikolojia

Utakubidi uache la sivyo utashindwa kuperform vizuri huyo mwanamke.
 
uzi umejaa fantasies na hisia, hakuna facts
 
sita sex naye, lazima nimpeleke Aga Khan akapime Ngoma, Gono, UTI , Kaswende, Warts, Herpes, HPV, Homa ya Ini

sasa shida hiyo yote ya nini ?

afya yangu ni bora kuliko sex, na-stick na Nyeto
Mbona unaota sana hayo magonjwa? au unadhani mke ni hao mabinti wa temeke sudan.
 
Heading sasa...isomeke AAZIMIA...
 
Kuna huyu madam anaitwa Mademoiselle huwa namkubali Sana Kwa comment zake mbali mbali

Kama hutojali tafadhali naomba utie neno hapa kidogo

Ila kama mada imekaa kushoto Sana kwako, usijali madam
Asante sana kwa kunipa hii heshima mkuu. Am honored kwakweli. Lakin aliekwambia ndani ya akili yako kwamba uniinvite kuchangia hajakosea.

Kitambo kidogo...nilishakuwaga na huu uraibu. Nimeteseka sana kuuacha..sana tu. Kila mtu ana shit ameshawahi pitia in life, well this is mine. Sasa unachokisema si uongo. Porn and Masturbation ina uraibu mbaya sana.

Sikuwaga na feeling na wanaume at all. Ilinipelekea niwe mtu flani nunda sana..extreme. Ikaniharibu saikojia maana always nilitakaga kuwa alone, mwenyewe mwenyewe, kivyangu vyangu. Ikanitengezea fake independence kujiona naweza kila kitu. Imenichukua muda mrefu kuishinda hii tabia.

Side effects: sawa ile ukicome unapata raha maana organs umezistimulate, na ubongo umereceive something you think is nice, lakin sasa shida ni kwamba viungo vya uzazi vinapata effect, ambazo zimeshaandikwa na shida kubwa zaidi ni ya kiroho. Partnership tunazofanya na hawa watu kwenye videoz, spiritual exchange zinazofanyika si kitoto.

Maana unakuwa enticed kufanya na wengi, sasa vitabu vya dini vyote vinakataza zinaa, waganga tu wanakatazaga uchafu hasa kama kuna specific directions kwa kitu unachokitazamia, majini tu ukiwa nao kuna wengine hawataki uzini..likikuvaa halitaki ukito****** ovyo, wewe ni nani?? kila unachofanya unajisikia kuhukumiwa, ukitaka kusali ama swali picha ama clip ya mriah mills, cherokee, sara j, darcie dolce inakujia kichwani alivyokua ananyonywa ndogo huku ananengua..ama nina kayy alivyokua anatwerk huku inaingia..saa ngapi utaswali ama kusali, saa ngapi utawaza maendeleo ndugu yangu. Maana unavyozidi kuwaza, unazidi kutamani, huyooo pornhub, kutafuta ingine yenye mikiki zaidi ili uenjoy.

Hata ukiwa prodctv utafanya asilimia 40 tu na utajiona ooh mbona nafanya kazi napata hela..lakin kiuhalisia umechunda..60 yote unampa bwana shetty. Hatimae sasa tamaa itazidi kuzaa dhambi, utatamani kufanya zaid...ukikutana na mshkaji ama manzi..wewe unataka upractise...na nikwambie hizi sexual fantasies watu tunazo ni porn after-effect, utazila ndogo mwshoe utatatman za wanaume wenzako...mtakataa hapa kwmba laana sijui nini lakin nimekutana na case katika counselling mwanaume ananiambia wazi j...nimechoka wanawake, sikuwah kupata wazo la kula wanaume wenzangu lakin hii porn stuff..na kula wanawake wengi mpaka kuja kuzoea kula ndogo imenipelekea nianze kuwaangalia wanaume wenzangu kwa jicho la pili. Anafaa kunywa vinywaji vikali ili alale maana he is so confused. Alishapata good women maishan mwake lakin kwa sabbu ya huu uraibu hawezi kuishi nao kw amani.

Mungu kasema anatupa akili katika mambo yote..na anatufundisha ili tupate faida, sasa kama tunaengage kwenye hizi addictions..tutasali ama swali kwa nani? Kama alivyonisaidia mimi, akusaidie na wewe ufanikiwe kuachana na hii addiction ili ubetter your life..and kama unaona am bluffing ni sawa..nilikua kama ama zaid yako...do what you like...neno langu si sheria anyways. Mkawe kheri na baraka kwenye maisha yenu yote. One love...
 
phuck family, Nyeto mpaka kufa
Mwanaume aliyekamilika hawezi kuwa na mawazo kama hayo labda kama unafanya utani,nyeto tofauti sana na kuwa na mwenza coz utakosa vitu vingi sana vya msingi kwa uhitaji wa mwanadamu.
 
sifanyi utani

kama vipi ?
Kuacha nyeto sio rahisi kwanza inabidi ujiandae kiakili bwana nimeamua kuacha nyeto pia kama unakawaida ya kukaa sana ndani au kuwa mpweke jaribu kujichanganya
 
Kuacha nyeto sio rahisi kwanza inabidi ujiandae kiakili bwana nimeamua kuacha nyeto pia kama unakawaida ya kukaa sana ndani au kuwa mpweke jaribu kujichanganya
siachi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…