Uchaguzi 2020 Azimio: Bunge la Marekani laisihi Serikali ya Tanzania na wahusika wote kuhakikisha Uchaguzi utakuwa Huru na wa Haki

Thubutu Yao!!! Corona itakula Hadi watu wa Ikulu Safari hii, wajaribu waone, hatutatumia hata siraha yoyote
 
Uchaguzi huu utakuwa huru na haki kabisa! Lissu wao atashindwa kihalali wasiwe na wasi

Na mjiandae kisaikolojia kati ya mojawapo ya haya kama mtajaribu kuiba uchaguzi huu kama mlivyozowea;

1. Kuwekewa vikwazo na kutengwa na Jamii ya Kimataifa mpaka mtembelee tumbo

2. Kupambana na mtiti wa wananchi kwa maandamano yatakayolazimisha jeshi la wananchi litoke nje kutuliza mzuka utakaopelekewa muondolewe ikulu kwa nguvu

Kusuka au kunyoa.
 
Kwa maana hiyo, wamekiri sasa Tanzania hakuna corona shughuli za mikusanyiko zinaweza kuendelea. Ha ha ha aa! si wakiri tu Tanzania chini ya Rais Dr. Magufuli imewazidi mbinu kukabiliana na Corona....!? Hapa mashabiki wa Mgombea wa Chama cha Mbowe nimewaweka katikati ya 'hard surface' na 'rock'. H ah ahaaaa!
 
Endelea kuota na kibaraka wenu wa mabeberu.
Nyie maccm ndio mabeberu wa nchi hii mafisadi walafi wauaji kumbe na nyie kuna wemgine mnawaita mabebru tena.... Ng'ombe kabisa nyie
 
Nani alimzuia Ndugai kuja na bill ya kuionya Marekani.
Haihitajiki wamarekani wahangaike na mchakachuaji kura Trump .Bunge la congres la Marekani wa im pitch Kwanza Trump kwa kuchakachua kura uchaguzi uliopita kabla ya kuparamia wa Tanzania
 
Toka 2016 watu wamepiga kelele sana, hamkisikia sasa kiboko yenu inaingia kazini mtasikia huku kinyesi kikiwatoka
 
Haihitajiki wamarekani wahangaike na mchakachuaji kura Trump .Bunge la congres la Marekani wa im pitch Kwanza Trump kwa kuchakachua kura uchaguzi uliopita kabla ya kuparamia wa Tanzania
Mwaka huu ni wenu Lissu siyo Lowassa atasema tumwachie Mungu, Magufuli ajiandae kufunguliwa kesi nyingi za ndani na za nje.
 
Magufuli alishalisemea hili muda mrefu na akarudia na kusisitiza kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki. Sasa marekani Wana Nini kipya?
Trump mwenyewe anahofia kuibiwa kura kwa utaratibu wa postal voting. Wasafishe nyumba yao huko, huku mambo shwari.
 
Tatizo lenu hamuwezi kujiendesha! Mmeachiwa mjiendeshe mnaanza kudhulumiana, Beberu njoo uyashghulikie haya majike
Hahahaha [emoji23],

Utadhani wewe utakuwa huko kwa mabeberu wakati tunashughulikiwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…