Takadini ana stress mumsamehe tyuuh.Shida ipo huoni hapo kuna economic depression?
Hersi alikuwa ana bargain na Aziz Ki kwa mahesabu ya kwamba ndani ya mwaka GSM atakuwa amedunduliza kwa kuuza uza vigodoro
White juzi tu hapo katoka kuikandia Simba kwa preseason yao ya Misri kwasababu mwaka jana waliahidi kufanyia US
White hakujua kwamba Azizi kapita na fuko lote la pesa na ishu ya uturuki imeyeyuka. He didn't see it coming
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ingekuwa kambi popote basi mngekuwa wakwanza kumsahihisha mhamasishaji wenu kwa kitendo cha kuibeza Simba kufanya preseason Misri badala ya USA
Kwa hiyo mnapigia pale pale city au mnazama ndani ndani huko manungu kujiweka fit na mechi za mikoani?
Source ya taarifa yako kuhusu Ends TourKila kitu kipo open Rasta
Mlitaka mfanye kama suprise lakini haijawajia vizuri, sasa kama hizi allegations ni za uongo basi mkawashtaki ENDA TOUR
Utulie, mbna kinyonge sanaaa? Wenzio wako Matombo huko.Naelewa maumivu mnayopitia wanasimba
Tulianza na Ngao ya Jamii
Tukaja na NBC PL
Kombe la shirikisho
Katika mechi NNE tumekupiga mechi 2 tena kwa magoli ya kikatili sana
Usajili wa Ki Aziz,
Ila mkapozwa kidogo na Mpole Cup na Sopu Cup na sasa hv Kambi ya uturuki kusemekana kuhairishwa bila official information
Nawakumbusha tena mwaka Jana mlikaa Morocco siku 45 na Yanga tulikaa siku 7 na kurudi Tanzania na maandalizi yetu mabovu ila Mechi ya kwanza na nyie tukawapa haki yenu ya kufungwa mapema sana
Aya sawaUtulie, mbna kinyonge sanaaa? Wenzio wako Matombo huko.
Nenda kawatengenezee juice ya miwa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee Takadini alisema mwanzo USA, baadae akaja oooh Nabil kakataa huko, kasema ni [emoji1250], usidhani hatukumbuki.Na wala timu haijawahi kueleza kambi yake itaweka sehemu flani,hizo taarifa za Yanga kuweka kambi Turkey umezitoa wapi?
Mbona unajitoa ufahamu aziz ki alipangwa atambulishwe ile siku mliyopost mafunguo kutoka kwenye nyimbo ya dj Khalid sasa bwana aligoma ku sign kwasababu kuna vitu havikuwa sawa ikabidi mumtambulishe usiku sio kwamba mlipenda ila baadhi ya terms za mkataba wake zilikuwa hazijakamilika unadhani yule ni kama ambundo akipewa mkataba anaangalia kwenye salary tu anadondoka mkuu mnaenda lini morogoro maana nipo gairo hapa nataka nijue nini cha kuongezea kilichopungua huko kambini utani sio uadui.Kwa akili yako kwamba Yanga wanafanya vitu bila budget? kwamba Aziz K kasajiriwa juzi hapo alipo tambulishwa na pesa kalipwa siku hio hio?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ndo uliee?? Hebu relaaaaaax.Jitahidini msijidhihirishe level yenu ya umbumbumbu kuwa ni mkubwa sana
Payo payo kutoka kwenu zimekuwa nyingi kuliko kuijenga timu yenu ili msimu ujao ioneshe ushindani kwa kuanzia kwenye ligi ya ndani coz mtajikuta mnacheza play off au mkijitahidi sana mtagombea nafasi ya 3 kwenye ligi
Leta source ya taarifa yakoWee Takadini alisema mwanzo USA, baadae akaja oooh Nabil kakataa huko, kasema ni [emoji1250], usidhani hatukumbuki.
Kaa kimyaaa. Lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushahidi upo kwa jemedari aliyesema manara aligombana na karia mkabisha mwisho wa siku mliishia kuomba msamaha.Niletee hapa ushahidi Yanga walisema wanaenda Turkey nakupa laki moja
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeehAya sawa
Nenda kwenye page ya Takadini, katazame, km kafuta bas, ila alitutambia wazi wazi. Hatusahau kabisaaa.Leta source ya taarifa yako
Tetesi mkuu si ndo zinatupeleka kwenye ukweli kwani taarifa za yanga kumsajili aziz ki zilianza kutoka kabla yanga haijathibitisha na ukakubali ila hili la kambi uturuki unakataa kwasababu ni la fedheha mpaka club ithibitishe ila usajili wa aziz ki uliamini tetesi tu kabla club haijathibitisha hivi utopolo ujinga mtaacha lini.Taarifa za Yanga kuweka kambi uturuki umezitoa wapi?
Kama klabu haijawahi kueleza jambo hilo,ni either ndani ya nchi au nje ya nchi kwa matakwa ya Mwalimu na sehemu yenyewe haijawahi kuwekwa bayana
Sijapata kuona mwaka ambao nyau wanateseka kama huu! Hakika nyaunyau zimekamatika! Kambi nchini ni mapendekezo ya kocha alivyoangalia muda utakaopotea wakienda nje!Hapo awali mabingwa wa Tz bara Yanga sc walipanga kwenda kufanya maandalizi ya msimu mpya nchini Uturuki.
Ikumbukwe kuwa usajili wa Azizi ki umeigharimu GSM kitita cha USD 200,000 na mshahara wa usd 10,000 kwa mwezi.
Raisi wa Yanga alimuomba Aziz ki wampatie nusu ya pesa ya usajili kwa msimu mmoja, na nyingine kummalizia msimu unaokuja lakini mchezaji huyo aligoma kupokea pesa nusu akitishia kugoma kujiunga na mabingwa hao wa Nbc.
Kutokana na kutumia pesa nyingi kwenye usajili wa Aziz ki GSM wameishiwa pesa hivyo wameona ni bora wakaweka kambi hapa hapa nchini.View attachment 2292457
Mtachora chini huo Ubingwa mwakaniSasa kuna shida gani? Hela unatoa wewe kwani? Tuende nje tusiende wewe haikuhusu...
All in All Yanga bingwa tena 2022/2023 (X29)
unajua maana ya bajeti , ikiwepo yote inatupwa tu au siyo? hakuna waliopewa bonus na matumizi mnegine hakuna ni kuzimwaga tu?yaani kumsajili bwana Aziz kwa takriban million 400,000,000 ndio kuifilisi club ambayo msimu umeisha imeweka kibindoni zaidi ya 1,000,000,000 tshs kweli?
Kambini nasikia wanarogana sana kule wakiongozwa na mwaisa yaani ukiacha kitu au soksi katika hostel za yanga umekwisha japo mwaisa kaondoka ila ujuzi kaacha kwa vijana unaona yule mapinduzi anaondoka yanga kacheza mechi mbili ikiwemo ile aliyoifunga simba baada ya hapo wakampiga misumari hajawahi kuwa fit mpaka kaondoka wamemfanyi ukatili sana sasa hzo taarifa zote amepewa aziz ki awe makini asije akawa yikpe mpya [emoji23][emoji23]Ni kweli kagoma, mwanzo sikuamini, ila nimepata uhakika kagoma kuishi Avic Town, anataka atokee nyumbani, ila huyu naweza sema huyu ujanja kamfunza Yaoukuba tyuuh. Lol.
Take a knife Jichinje mwenyeweSource ya taarifa yako kuhusu Ends Tour
Kila kitu open kuhusu kambi ya uturuki,aliyeweka open ni nani?,anahusika vipi na kambi?
Ukisha ijua source ya taarifa yako ndo utazidi kujitambua level yako ya umbumbumbu ilivyo?
Watu wenye akili huwa wanajadili kwa kupongeza na kupata kuhusu jambo lilowekwa bayana na muhusika mkuu tu and not otherwise