Aziz Ki akwamisha pre-season ya Yanga Uturuki

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basis hatareee tupu lol.
 
Aya timu kubwa hupimwa kwa kuchukua Champions league Mara nyingi zaidi.........Tuje kwa timu yako ya Simba ina makombe mangapi ya Caf Champions League?

Ili tujue ukubwa wako upo wapi?
 
Upunguani ni kipaji mwenzetu ume barikiwa , kwamba mchezaji asafiri toka huko aje kuanza ku bargain malipo wazazi wako wana hasara sana kufuga lifara miaka yote hio

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Wee mbna umekua mpoleee ghaflaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Furaha imezimwa?? Kasaidie kutengeneza juice ya miwa huko Bigwa.
 
Wakati mnasema kuwa KI alihitajiwa na Simba Sc, mlileta reliable source? Au reliable source zinatakiwa zitolewe kwenye maswala yanayoihusu Yanga tu?
Tulileta barua kutoka Simba waliyomtumia offer ya kumsajili Ki Aziz ikiwa na signing fee na mshahara walikuwa wamepanga kumpa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe umeishiwaa eeeh?? Unajifanya mjanjaa, ukiguswa kidogo unakua mpoleeee, badooo mbna ntakunyooshaa.

Yakizidi sana muone Daktar, kunywa maji mengi afu relaaax.

Byuti byuti. Weuweeeeeeee
 
Wewe waache tu jana VAR imetestiwa mwaka huu hakuna zile mambo zao za penalties za ujanja ujanja na magoli ya offside, hawa mabingwa wastaafu wanahudhunisha sana

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Wee mbna umekua mpoleee ghaflaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Furaha imezimwa?? Kasaidie kutengeneza juice ya miwa huko Bigwa.
Aya sawa ila kumbuka huwa nikiona reply yako kwenye comments zangu,nahisi harufu ya kinyesi kutoka kwako

Na nilishakueleza tangu muda mrefu humu jukwaani huwa sitaki kuwa na engagement na machoko
 
Umeamia kwenye timu yetu tena na sio kusisitiza kuhusau source?

Kwa maana hiyo umekubali kuwa source ni trustable?
Achana name huyo, kasha changanyikiwa hana Pa kushika.
Anabaki kuugulia ndani kwa ndani, Aziz kaamua kuwavua nguo.
Wauza magodoro fake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Upunguani ni kipaji mwenzetu ume barikiwa , kwamba mchezaji asafiri toka huko aje kuanza ku bargain malipo wazazi wako wana hasara sana kufuga lifara miaka yote hio

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Si bora mimi punguani lakini silipwi nyinyi mnamlipa mshahara mmempa na gari kwa kazi ya upunguani yule nguruwe pori kwa umri wake na mambo anayofanya haviendani yule aliyewaambia mnaanzia hatua ya mtoano CAF champion's league wakati mna 0.5 mapunguani wengine wapo airport pale ngoja CAF champion's league ianze utawaona wanaenda kuwapokea wageni wala hawawajui hata kidogo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe umeishiwaa eeeh?? Unajifanya mjanjaa, ukiguswa kidogo unakua mpoleeee, badooo mbna ntakunyooshaa.

Yakizidi sana muone Daktar, kunywa maji mengi afu relaaax.

Byuti byuti. Weuweeeeeeee
Aya sawa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa unalia nn?? Hebu relaaaaaaaaax.
Vipi moro mnaenda na Abood au BM coach?

Hahaha
 
Huko champions League una kombe gani ili tuone huo ukubwa wako

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Aya timu kubwa hupimwa kwa kuchukua Champions league Mara nyingi zaidi.........Tuje kwa timu yako ya Simba ina makombe mangapi ya Caf Champions League?

Ili tujue ukubwa wako upo wapi?
Ok mada nzuri huko hatujafika kwa vilabu vya Tanzania ila club inayofanya vizuri au yenye record CAF champion's league sio tu Tanzania afrika mashariki kwa ujumla simba ndio kinara kwani hata kuanza haanzi hatua moja na utopolo tumechelewa ila tutafika Tanzania inatoa team nne kwasababu ya simba hata thamani yao imepanda kama yanga akiwahi kuchukua CAF champion's league kabla ya simba basi pia itakuwa kheri ila ukubwa wa team unapimwa kwa kiwango hcho sawa 0.5 radius pambaneni mtafika level za simba sio lazima mkubali ila takwimu zinaongea.
 
Aya sawa ila kumbuka huwa nikiona reply yako kwenye comments zangu,nahisi harufu ya kinyesi kutoka kwako

Na nilishakueleza tangu muda mrefu humu jukwaani huwa sitaki kuwa na engagement na machoko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yuko pale kambini anasambaza upendo kwa wana, tena akaona haitoshi akaamua aweke video public watu tusuuze macho, na tujue ya kambini.

Msalimie shost ako kabwiliiiii, hahahahah

Ukinuna nakunyoosha vingine. Uwiiiiiiiih
 
Huko champions League una kombe gani ili tuone huo ukubwa wako

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kuto anza hatua moja na utopolo na kuiwezesha Tanzania kutoa team nne hilo ni kombe pia mdogo mdogo tutafika nyinyi mlishiriko miaka minne mpaka leo mnazidiwa na namungo fc na biashara kimataifa kufanya vizuri kimataifa sio lazima uchukue kombe Tanzania hatujafika level hzo siku tukifika basi tutajipima kwa mataji sasa hivi tuna jipima kwa achievement.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…