Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30

Kupitia ndoa ya Aziz na Missa nimegundua wanaotukana single maza humu ndani ni makapuku wa kutupwa hawana mbele wala nyuma na ni waoga mno..Keyboard warriors yaani wanapiga zogo humu mitandaoni huko mitaani masingle maza wanaolewa kwa dau kubwa sana kila kukicha....Hongera sana missa kwa kuwakilisha single maza wa Tanzania,saivi hii mijinga imebaki kuongea negative eti tuone ndoa itadum au vipi, Suala la kudumu muwaachie mwenyewe kikubwa missa enjoys the moment...Mabrook Mabrook
 
Wewe si umesema huenda dada au shangazi zetu ,posa ikawa kilo moja ya unga wa ngano chapa maandazi.
Ndiyo anazo pesa! Sasa kama hao wa unga wa mandazi ndiyo huwa uwezo wao, hata mkibwagana sahizi haikupi shida
 
Wewe si umesema huenda dada au shangazi zetu ,posa ikawa kilo moja ya unga wa ngano chapa maandazi.
Mwanaume akiwa na pesa haoni shida kutoa posa kubwa ni fahari kwake, shida inakuja kama pesa ya kudunduliza
 
Huyu limbukeni kapotea sana, kachukua mali yà umma. Hapa mwàka mmoja tuu hamisa atakuwa keshapata alizozitaka ndo mwisho wa Ki.
Jamaa ni mpuuzi sana, hivi idara ya uhamiaji haiwezi kumkamata na kumpeleka kwao chap maana katutia haibu wanaume tunaojitambua akili. Unaoa changu kweli tena mwenye watoto wa vibaka wengine tofauti tofauti?
 
Nakata rufaa kwa huyu dogo kuoa changudoa, katudhalilisha sana wanaume hapa nchini......hivi nikienda pale Uhamiaji nachukua fomu gani ya kumfukuzisha Azizi nchini kwa kufunga ndoa batili?
 
Nakata rufaa kwa huyu dogo kuoa changudoa, katudhalilisha sana wanaume hapa nchini......hivi nikienda pale Uhamiaji nachukua fomu gani ya kumfukuzisha Azizi nchini kwa kufunga ndoa batili?
Eñg Hersi kampoteza huyo. Alichomfanyia dogo ukweli ni kibàya sana, kumuingiza chaka kwa mobeto?
 
Mademu wa Tanzania ghari sana mamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.... Nimekutana naypoooooooo naye mali milioni. 30

Na Hapaaaaaa⌚⌚⌚⌚⌚⌚⌚Na Hukuuuuu👑👑👑👑👑
 
Mademu wa Tanzania ghari sana mamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.... Nimekutana naypoooooooo naye mali milioni. 30

Sitakufundisha tena "Wanawake wakiwa unaolewa wanahitaji mali Aise"

Mademu wa Tanzania ghari sana mamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.... Nimekutana nayoooooooo naye mali milioni. 30... *mimi sitaweza kujenga hiyo mali⌚⌚⌚

Sitakufundisha tena "Wanawake wakiwa unaolewa wanahitaji mali Aise"

Na Hapaaaaaa⌚⌚⌚⌚⌚⌚⌚Na Hukuuuuu👑👑👑👑👑
 
Ujinga tu nitoe million 30 kwa mtu ambaye hana hata thamani ya utu wake , kiujumla hana BIKRA , nifaida gani naipata sasa kwa kuoa aliyetumika na wanaume tofauti tofauti ?

Niwakumbushe ndoa ya hamisa haiwezi kudumu kamwe hata iweje hata iwe usiku na mchana ,mwanamke huyo kaenda zake kupiga pesa baada yakupiga pesa na Azizi akiishiwa ndo kuachwa kwake na aangalie isiwe kama kwa Ndikumana alikufa kizembe sana .
 
Hizo million unazo sasa? 😂😂😂
 
Dada zenu wanachina majumbani mwenu hata wakuwaposa elf 5 hakuna, ndiyo maana wivu unawafura 😂😂😂😂🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…