Tetesi: Aziz Ki anataka Dola laki tano kubaki Yanga

Tetesi: Aziz Ki anataka Dola laki tano kubaki Yanga

Hapo atasign tu, maana Yanga hawakutoa ofa ya kinyonge. Ingekuwa ni 150/200 kwa 500 ingekuwa tabu.

Watoe tu kwa malengo makubwa.
 
Mwisho wa siku mpira ni biashara, wamuuze waangalie faida. watanunua mwingine kwani huyo Aziz Ki walimpataje?
 
Yanga bado iko mbali na kubeba ubingwa wa Afrika. Wamuache Aziz Ki aende maana huo ni mkwanja mrefu mno kwa timu zetu. Wajenge timu kupitia Pacome. Wafanye skauting nzuri tu, wapate wachezaji wawili wazuri. Na kama Dube atakuja Yanga timu itatisha mnoo. Dube ataua watu kwa hili li Mpira la Yanga.
 
Back
Top Bottom