Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Ameshafanya kazi tuliyomtaka afanye. Kama anauzika kwa faida, basi auzwe tu ili kuzuia matabaka ya miongonzi mwa wachezaji wetu kwani dau analotaka litaweka tofauti kubwa sana na wachezaji wengine, jambo linaloweza kuwapunguzia motisha kama timu.Kiuongo Mshambuliaji wa Yanga Aziz Ki amewambia viongozi wake kama wanamuhitaji kuendelea kusalia klabu hapo basi wanapaswa kumpa mkataba wenye thamani wa Dola laki 5.
Ofa ya Yanga kwa Aziz Ki ni dola laki tatu na nusu pekee. Vipi sasa wadau na mashabiki wa Yanga, Aziz Ki abaki au asepe tu?