Tetesi: Aziz Ki anataka Dola laki tano kubaki Yanga

Kiuongo Mshambuliaji wa Yanga Aziz Ki amewambia viongozi wake kama wanamuhitaji kuendelea kusalia klabu hapo basi wanapaswa kumpa mkataba wenye thamani wa Dola laki 5.

Ofa ya Yanga kwa Aziz Ki ni dola laki tatu na nusu pekee. Vipi sasa wadau na mashabiki wa Yanga, Aziz Ki abaki au asepe tu?
Anastahili. Tena kawahurumia sana
 
Kiuongo Mshambuliaji wa Yanga Aziz Ki amewambia viongozi wake kama wanamuhitaji kuendelea kusalia klabu hapo basi wanapaswa kumpa mkataba wenye thamani wa Dola laki 5.

Ofa ya Yanga kwa Aziz Ki ni dola laki tatu na nusu pekee. Vipi sasa wadau na mashabiki wa Yanga, Aziz Ki abaki au asepe tu?
Achangiwe kama lissu!
 
Ada ya mkataba dola laki 5, mshahara ameweka ngapi?
Yanga wapime uzito wa kutoa hela nyingi kwa mchezaji mmoja, kuna wengine mikataba yao inaisha na wao wataongeza mzigo.

Hata hivyo kujenga timu yenye ushindani wa kupigania mataji barani Afrika kunahitaji uwekezaji mkubwa wa fedha.
Timu zetu za Kariakoo zikitaka mafanikio lazima zibadirike.
 
Yanga ni kubwa kuliko Aziz Ki.
 
Timu zetu huo uwezo bado. Lazima tu zijitahidi kutafuta wachezaji wazuri wa bei nafuu. Zijijenge taratibu.
 
Kiuongo Mshambuliaji wa Yanga Aziz Ki amewambia viongozi wake kama wanamuhitaji kuendelea kusalia klabu hapo basi wanapaswa kumpa mkataba wenye thamani wa Dola laki 5.

Ofa ya Yanga kwa Aziz Ki ni dola laki tatu na nusu pekee. Vipi sasa wadau na mashabiki wa Yanga, Aziz Ki abaki au asepe tu?
Kwa kiwango alicho kionyesha na timu zinazo mtaka wa mwache aende tuu, kwani kazi yetu kishatufanyia.
 
Hiyo hela hapa bongo hawezi pewa... Wamwache aondeke... Asipokubaliana na ofa ya timu. Wachezaji wapo kibao
 
Kiuongo Mshambuliaji wa Yanga Aziz Ki amewambia viongozi wake kama wanamuhitaji kuendelea kusalia klabu hapo basi wanapaswa kumpa mkataba wenye thamani wa Dola laki 5.

Ofa ya Yanga kwa Aziz Ki ni dola laki tatu na nusu pekee. Vipi sasa wadau na mashabiki wa Yanga, Aziz Ki abaki au asepe tu?
kwa mguu wake ule ule wa kushoto ambao ukifanikiwa kuuzuia hana uwezo wowote wa kufanya?
 
Mkuu unajua uzito wa $500,000 ni karibia na bajeti ya msimu mzima wa Sigida united au maji maji Fc hiyo ni 1.2bn pesa ndefu sana bora umpe umuuze $1m upate faida kutafuta wachezaji wa bei poa.
Hio biashara ni wazi itafanyika, sasa yeye anataka wagawane 50/50 ila yanga wanataka wapate zaidi 65/35
 
Huyu Aziz Ki ni bonge la mchezaji, apewe pesa anazotaka abaki.
 
Back
Top Bottom