Kingwaba Mazegenuka
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,016
- 1,707
Anastahili. Tena kawahurumia sanaKiuongo Mshambuliaji wa Yanga Aziz Ki amewambia viongozi wake kama wanamuhitaji kuendelea kusalia klabu hapo basi wanapaswa kumpa mkataba wenye thamani wa Dola laki 5.
Ofa ya Yanga kwa Aziz Ki ni dola laki tatu na nusu pekee. Vipi sasa wadau na mashabiki wa Yanga, Aziz Ki abaki au asepe tu?
Watamuuzaje na mkataba wake umetamatika? Wampe au asepeWamuuze kama hawawezi.
Akimaliza mkataba si anakua free, anaondoka tu kama Mbape.tuumuuzeee tupatehela
Achangiwe kama lissu!Kiuongo Mshambuliaji wa Yanga Aziz Ki amewambia viongozi wake kama wanamuhitaji kuendelea kusalia klabu hapo basi wanapaswa kumpa mkataba wenye thamani wa Dola laki 5.
Ofa ya Yanga kwa Aziz Ki ni dola laki tatu na nusu pekee. Vipi sasa wadau na mashabiki wa Yanga, Aziz Ki abaki au asepe tu?
KuHata kama usipozisikia kwa wana Simba, kama ndivyo ilivyo utasikia tup
Kumbe 7-2 ni Simba 😢😢Hata kama usipozisikia kwa wana Simba, kama ndivyo ilivyo utasikia tu
Mara tanoNarekebisha
Ni mara tatu
Hee, aisee. Nilijua mkataba umebaki 1 year.Watamuuzaje na mkataba wake umetamatika? Wampe au asepe
Should let him go then.He refused to sign since last season
Ni free AgentWamuuze kama hawawezi.
Yanga ni kubwa kuliko Aziz Ki.Kiuongo Mshambuliaji wa Yanga Aziz Ki amewambia viongozi wake kama wanamuhitaji kuendelea kusalia klabu hapo basi wanapaswa kumpa mkataba wenye thamani wa Dola laki 5.
Ofa ya Yanga kwa Aziz Ki ni dola laki tatu na nusu pekee. Vipi sasa wadau na mashabiki wa Yanga, Aziz Ki abaki au asepe tu?
Timu zetu huo uwezo bado. Lazima tu zijitahidi kutafuta wachezaji wazuri wa bei nafuu. Zijijenge taratibu.Ada ya mkataba dola laki 5, mshahara ameweka ngapi?
Yanga wapime uzito wa kutoa hela nyingi kwa mchezaji mmoja, kuna wengine mikataba yao inaisha na wao wataongeza mzigo.
Hata hivyo kujenga timu yenye ushindani wa kupigania mataji barani Afrika kunahitaji uwekezaji mkubwa wa fedha.
Timu zetu za Kariakoo zikitaka mafanikio lazima zibadirike.
Kwa kiwango alicho kionyesha na timu zinazo mtaka wa mwache aende tuu, kwani kazi yetu kishatufanyia.Kiuongo Mshambuliaji wa Yanga Aziz Ki amewambia viongozi wake kama wanamuhitaji kuendelea kusalia klabu hapo basi wanapaswa kumpa mkataba wenye thamani wa Dola laki 5.
Ofa ya Yanga kwa Aziz Ki ni dola laki tatu na nusu pekee. Vipi sasa wadau na mashabiki wa Yanga, Aziz Ki abaki au asepe tu?
Mi nadhani timu zetu ziwekekeze zaidi kwenye wachezaji wa nyumbani.Timu zetu huo uwezo bado. Lazima tu zijitahidi kutafuta wachezaji wazuri wa bei nafuu. Zijijenge taratibu.
Umeshakula njugu zako sasa zinakupelekea kukashfu wenzako sio?Hana kitu zaidi ya mdomo
kwa mguu wake ule ule wa kushoto ambao ukifanikiwa kuuzuia hana uwezo wowote wa kufanya?Kiuongo Mshambuliaji wa Yanga Aziz Ki amewambia viongozi wake kama wanamuhitaji kuendelea kusalia klabu hapo basi wanapaswa kumpa mkataba wenye thamani wa Dola laki 5.
Ofa ya Yanga kwa Aziz Ki ni dola laki tatu na nusu pekee. Vipi sasa wadau na mashabiki wa Yanga, Aziz Ki abaki au asepe tu?
Hio biashara ni wazi itafanyika, sasa yeye anataka wagawane 50/50 ila yanga wanataka wapate zaidi 65/35Mkuu unajua uzito wa $500,000 ni karibia na bajeti ya msimu mzima wa Sigida united au maji maji Fc hiyo ni 1.2bn pesa ndefu sana bora umpe umuuze $1m upate faida kutafuta wachezaji wa bei poa.