Tetesi: Aziz Ki anataka Dola laki tano kubaki Yanga

Daah, huyu jamaa amekomaa hadi amepewa $500,000. Tena aliweka masharti kabisa kuwa kabla hajasaini, muamala uwe umesoma kabisa $250,000 kwenye akaunti yake. Hongera Ki, maana 1.2B ni almost 5% ya vitu vyote vilivyopangwa kufanyika Yanga 2024/25
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…