Aziz Ki atumie muda mwingi kujifunza kwa Chama

Huyo Aziz Ki hata kuuliziwa huko Berkane nehi, mwenzake Karim yuko zake Ulayaaaa. Yeye kigamboni. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hili la yeye kuwa Kigamboni waende wakalifanyie kazi 🤣🤣🤣
 
Mchezaji high level anayeishia kucheza Tanzania pekee. Aisee mahaba yakizidi ni upofu.
 
Mchezaji high level anayeishia kucheza Tanzania pekee. Aisee mahaba yakizidi ni upofu.
Sasa Rasta mbona swala la Chama kucheza ligi ya ndani linaeleweka ni kutokana na protocols za CAF?

Linahusiana vipi na kiwango cha mchezaji?
 
Sasa Rasta mbona swala la Chama kucheza ligi ya ndani linaeleweka ni kutokana na protocols za CAF?

Linahusiana vipi na kiwango cha mchezaji?
Protocols za CAF zimesemaje kuhusu Chama kutocheza kwenye timu za nje ya Tanzania? Nifahamishe
 
Mtu ana miezi miwili analinganishwa na mtu ana miasimu karibu mitano,asa apo nani wakujifunza kwa mwenzake?shida mikia hamnaga akili[emoji23]

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
ukiweka mlinganyo wa game zao tangu Simba Day na Uto Day unapata majibu gani? acha kujifichia huko
 
Swala langu sio kwanini hachezi mechi za kimataifa bali ni kwanini mchezaji unayemsifia kuwa yuko high level, aishie kuchezea Tanzania badala ya timu kubwa kama Wydad, Al Ahly, n.k
kwani Simba timu ndogo. haya ni matokeo ya Star kuishi mtaa mmoja na watu wa kawaida
 
Ni timu ndogo ndio kwa barani Africa. Au unataka kusema Simba inakombe gani la CAF?
Mmekazana kombe kombee kau mnamanisha kombe nyama ya ngo'mbe?? Sisi tunajulikana kwa kuwapiga miamba ya soka na kuongoza makundi. Robo fainali zikizidi zinakua nusu fainali mwisho tunachukua kombe siku si nyingi.
 
Hakuna kipya
 
Swala langu sio kwanini hachezi mechi za kimataifa bali ni kwanini mchezaji unayemsifia kuwa yuko high level, aishie kuchezea Tanzania badala ya timu kubwa kama Wydad, Al Ahly, n.k
Kwani Simba sio timu kubwa?
 
Ukitaka kujua Azizi Ki the Magician anawakosesha usingiz amani na nguvu za kiume Makolo, angalia kilasiku lazima wamtaje taje tu... Ukiona mwanaume anapenda kumfuatilia mwanaume mwenzake na kumtaja taja basi ujue anatamani kuchezea dudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…