Aziz Ki bado yupo sana Yanga, asaini mkataba wa kuendelea na klabu hiyo

Hadi tuone mkataba maana hii ndio bongo bhana!
 
Nasoma habari yako nione mmemuongezea miaka mingapi sioni, umeleta tu ngonjera hapa isiyo na ladha yoyote.

Aziz Ki ameahidiwa mshahara wa milioni 97 kwa mwezi CR Belouzdad ya Algeria, nyie vyura mnaweza kujikamua mkatoa hiyo pesa?
 
Anajua Ndele za Yanga ndio nguzo yake. Hana maajabu nje ya Yanga
 
Nasoma habari yako nione mmemuongezea miaka mingapi sioni, umeleta tu ngonjera hapa isiyo na ladha yoyote.

Aziz Ki ameahidiwa mshahara wa milioni 97 kwa mwezi CR Belouzdad ya Algeria, nyie vyura mnaweza kujikamua mkatoa hiyo pesa?
😁🀣🀣🀣Kaongeza miaka miwili
 
Hii tabia ya kujitekenya na kujichekesha wenyewe mnayo niya wala mihogo.

Aliyewambia ana asilimia 40 za kubaki ni yule mlima mihogo.
Anayewambia bado yupo ni muuza mihogo wenu.
Wanaofurahi ni wala mihogo wenyewe . Sasa sijui tatizo liko wapi.
 
Tangu uzaliwe umewahi kumuona chura mwenye akili?!

Hao waache tu.
 
Nasoma habari yako nione mmemuongezea miaka mingapi sioni, umeleta tu ngonjera hapa isiyo na ladha yoyote.

Aziz Ki ameahidiwa mshahara wa milioni 97 kwa mwezi CR Belouzdad ya Algeria, nyie vyura mnaweza kujikamua mkatoa hiyo pesa?
Labda alisaini mapema kabla ya ligi kuisha hivyo mkataba unambana mpaka yanga wamruhusu maana kwa akili ya kawaida hakuna mchezaji anaeweza kuacha huo mshahara kwa ligi zetu hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…