Aziz Ki na Harmonize jifunzeni kwa Diamond jinsi ya kutunza ndugu zenu. Miaka yote ulimficha mama yako sababu amechakaa

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,345
Reaction score
56,148
Kipindi nasoma chuo kuna binti alijifanyaga sista duu.mara paa baba yake mzazi akafariki.
Rafiki yake wakaribu akatoa taarifa,tukajikusanya kukodi coaster kwenda msibani
Binti mfiwa kidogo adondike,alikuwa akiishi uswazi mwananyamala kisiwani,nyumba imechokaaa.

Aziz Ki mjinga sanaalimficha mama yake mzazi kwa miaka mingi,mara asememama yake alishakufa,mara atuonyeshe mshangazi mmoja mashaalah kuwa ndiomama yake kumbe ni meneja wake.

Kingole Hamisa Mobeto kwakufichuo ukweli,umemfukunyua mama mzazi wa Aziz Ki mpaka tumemuona mama mkwe
Mama mkwe anaonekana hatunzwi na hana furaha

Unaweza usimpende Diamond ila amejitahidi kuwatunza ndugu zake isipokuwa baba yake.ndugu wa Diamond wanatunzwa,wanakula wanashiba,wanavaa vizuri.

Konde boy pia niliona picha yababa yako amevaa tshirt ya 5000.dadayako alikuwa amesuka nywele za 2000

Biblia iko wazi,asiyetunza wa kwao atenda dhambi kuliko asiyeamini
 
Dume la konde gang kama lilimfanyia ivoo ibraah si anjella alipasuliwa msamba jaman.. Linatuaibisha mitandaoni sn
1000026739.jpg
 
Kipindi nasoma chuo kuna binti alijifanyaga sista duu.mara paa baba yake mzazi akafariki.
Rafiki yake wakaribu akatoa taarifa,tukajikusanya kukodi coaster kwenda msibani
Binti mfiwa kidogo adondike,alikuwa akiishi uswazi mwananyamala kisiwani,nyumba imechokaaa.

Aziz Ki mjinga sanaalimficha mama yake mzazi kwa miaka mingi,mara asememama yake alishakufa,mara atuonyeshe mshangazi mmoja mashaalah kuwa ndiomama yake kumbe ni meneja wake.

Kingole Hamisa Mobeto kwakufichuo ukweli,umemfukunyua mama mzazi wa Aziz Ki mpaka tumemuona mama mkwe
Mama mkwe anaonekana hatunzwi na hana furaha

Unaweza usimpende Diamond ila amejitahidi kuwatunza ndugu zake isipokuwa baba yake.ndugu wa Diamond wanatunzwa,wanakula wanashiba,wanavaa vizuri.

Konde boy pia niliona picha yababa yako amevaa tshirt ya 5000.dadayako alikuwa amesuka nywele za 2000

Biblia iko wazi,asiyetunza wa kwao atenda dhambi kuliko asiyeamini
Fanya mambo yako we kibwengo
 
Mtoa mada , una ujumbe mzuri, ila ulivyomsema dada uliyesoma nae , ni wazima kwamba wewe ndo una shida Wala hata siyo huyo dada. Sasa ulitaka huyo dada aihamishe familia yake aipeleke ushuani Kwa kutumia pesa ya boom? Inatosha hiyo pesa?
Huyo binti alikuwa anajishaua hata kula ugali hawezi hata kuutamka tu shida anatamja kizungu eti ni yugalay
Perfume anajipulizia ya 80,000
Wig laki tatu,vilitosha kununua ndoo ya rangi weatherguard na kupendezesha gofu lao,binti alikuwa mrembo sana alikuwa na madanga ya maana
 
Back
Top Bottom