Chick_tz
JF-Expert Member
- Mar 2, 2025
- 2,447
- 3,302
Ya kusuka rasta nyingne ataipata akimtapel ibrahSasa harmonies ana pesa gani?
Ya kusuka rasta nyingne ataipata akimtapel ibrahSasa harmonies ana pesa gani?
Hii itakuwa shida binafsi na sio shule za Kanumba maana nimeshindwa hata kushangaa angeandika kiswahili tuu 😳Dume la konde gang kama lilimfanyia ivoo ibraah si anjella alipasuliwa msamba jaman.. Linatuaibisha mitandaoni sn
View attachment 3348028
Mama dangote nawe wenzio wakiwa wanasoma magazeti ya ijumaa na wikienda ulikuwa mkaksi,,,Mkuu sijaelewa bado😅
Sasa ulishasema ni mwanafunzi, ulitaka atoe wapi pesa ya kujenga ama kuishi pazuri?Binti mfiwa kidogo adondike,alikuwa akiishi uswazi mwananyamala kisiwani,nyumba imechokaaa.
Hahahaha 🤣😂 hiyo mbona ni noma.Mama dangote nawe wenzio wakiwa wanasoma magazeti ya ijumaa na wikienda ulikuwa mkaksi,,,
Nimevurugwa badala ya kwenda magomen Tanesco nimepelekwa tandale Tanesco 🤔
Humwoni wakiwa busy na esmaHahahaha 🤣😂 hiyo mbona ni noma.
Nimevurugwa htreee selewii 😂Hahahaha 🤣😂 hiyo mbona ni noma.
Namwona.Humwoni wakiwa busy na esma
Hiyo siyo kawaida yako ujue😀Nimevurugwa htreee selewii 😂
Ulikuwa unapinga?Wewe kweli Mnafiki Wa Kujitegemea.
Ulikuwa unapinga?Ulikuwa unapinga?
Alitaka dada ajenge nyumba ya kishua hapohapo Mwananyamaka kwa boom sio aihamishe familia😂Mtoa mada , una ujumbe mzuri, ila ulivyomsema dada uliyesoma nae , ni wazima kwamba wewe ndo una shida Wala hata siyo huyo dada. Sasa ulitaka huyo dada aihamishe familia yake aipeleke ushuani Kwa kutumia pesa ya boom? Inatosha hiyo pesa?
Hela anazo japo sio nyingi sana
SureMkuu umeandika point ila kuna wazungu pori hapa wanajibu utumbo kuwa hao ndugu watafute vyao... siku hizi tunafundisha ndugu kuchukiana badala ya kusaidiana. Taifa bora linaanzia na familia bora yenye upendo.
SahihiKuna sababu Kwa Nini watu wanafanya wanayoyafanya; tatizo ni wewe kuona wanakosea kabla ujapata sababu
Aliwahi kusema lini kwamba mama yake amekufa?! Mimi ninachojua kuna yule mama ambae alijiweka sana mbelembele kwenye issues za Aziz hadi watu wakaamini ndie mama yake! Hata kwenye ndoa ya Aziz yule mama akalipeleke saga Instagram kuonesha ni namna gani ndugu hawaridhika kabisa na ndoa ya Azizi na Hamisa kwa madai hawakupewa taarifa na akaenda mbele zaidi kudai yote ile ni janja ya Injinia kuhakikisha Aziz haondoki. That mama overshadowed Mama Aziz existence! Just imagine, hata wakati anailalamikia ile ndoa alikuwa anawazungumzia ndugu hususani wajomba lakini hakugusia kabisa suala la mama; na hapo ndipo watu waka-conclude kwamba mama yake mzazi alishafariki.Aziz Ki mjinga sanaalimficha mama yake mzazi kwa miaka mingi,mara asememama yake alishakufa,mara atuonyeshe mshangazi mmoja mashaalah kuwa ndiomama yake kumbe ni meneja wake.