Aziz Ki na Harmonize jifunzeni kwa Diamond jinsi ya kutunza ndugu zenu. Miaka yote ulimficha mama yako sababu amechakaa

Aziz Ki na Harmonize jifunzeni kwa Diamond jinsi ya kutunza ndugu zenu. Miaka yote ulimficha mama yako sababu amechakaa

wabongo mna mambo ya kishamba kweli. kwa hiyo ili asichakae huyu mama alitakiwa avae wigi na kichupi? unajua tabia za watu wa west africa?
Macho yanaongea mengi,mama anaonekana hashibi na hana furaha
 
Watu wanataka kama wewe kwenu ni masikini, Basi Uuvae huo umasikini kila unapoenda.

Usivae vizuri, Usile vizuri, Usiishi sehemu nzuri kama ndugu zako.
Komboa ndugu zako.yafaa nini kuhonga malaya magari ya gharama mzazi wako na watoto wanalala njaa
 
Akili za kiafrica bana,kwa hiyo dada yake kusuka nywele za 2000 na Harmo kuwa na hela imekujaje hapo?dada atafute hela zake akasuke nywele za 300000....kuhusu mama Aziz yuko sawa tu acha kukuza mambo.
Wewe mzungu pori wa Chanika ndo una akili za kipumbavu. Familia ndo kila kitu. Hizo akili za magharibi hata hao wazungu wenyewe hawazifuatishi kama mnavyoaminishwa mitandaoni na kwenye TV. Wazungu pia hujali familia zao. Usipokuwa mwema kwa familia yako huwezi kuwa mwema kwa watu baki...
 
Komboa ndugu zako.yafaa nini kuhonga malaya magari ya gharama mzazi wako na watoto wanalala njaa
Mkuu umeandika point ila kuna wazungu pori hapa wanajibu utumbo kuwa hao ndugu watafute vyao... siku hizi tunafundisha ndugu kuchukiana badala ya kusaidiana. Taifa bora linaanzia na familia bora yenye upendo.
 
Kipindi nasoma chuo kuna binti alijifanyaga sista duu.mara paa baba yake mzazi akafariki.
Rafiki yake wakaribu akatoa taarifa,tukajikusanya kukodi coaster kwenda msibani
Binti mfiwa kidogo adondike,alikuwa akiishi uswazi mwananyamala kisiwani,nyumba imechokaaa.

Aziz Ki mjinga sanaalimficha mama yake mzazi kwa miaka mingi,mara asememama yake alishakufa,mara atuonyeshe mshangazi mmoja mashaalah kuwa ndiomama yake kumbe ni meneja wake.

Kingole Hamisa Mobeto kwakufichuo ukweli,umemfukunyua mama mzazi wa Aziz Ki mpaka tumemuona mama mkwe
Mama mkwe anaonekana hatunzwi na hana furaha

Unaweza usimpende Diamond ila amejitahidi kuwatunza ndugu zake isipokuwa baba yake.ndugu wa Diamond wanatunzwa,wanakula wanashiba,wanavaa vizuri.

Konde boy pia niliona picha yababa yako amevaa tshirt ya 5000.dadayako alikuwa amesuka nywele za 2000

Biblia iko wazi,asiyetunza wa kwao atenda dhambi kuliko asiyeamini
We mamako unamtunza?
 
Mimi nipambane weeeeeh
Niakze weeeeeh
Yaani kufa kupona nikaze tuu
Hapo aliyoko nyma yangu ni familia yangu an baba na mama then nafikia stage flan anatoke ankol mmoja analeta ungese wake....

Nawapiga pipe
 
Wewe mzungu pori wa Chanika ndo una akili za kipumbavu. Familia ndo kila kitu. Hizo akili za magharibi hata hao wazungu wenyewe hawazifuatishi kama mnavyoaminishwa mitandaoni na kwenye TV. Wazungu pia hujali familia zao. Usipokuwa mwema kwa familia yako huwezi kuwa mwema kwa watu baki...
Siwezi kubishana na MDUDU CHAWA
CHAWA NI MDUDU
CHAWA NI MNYONYAJI
CHAWA ANAISHI SEHEMU CHAFU
CHAWA HAJUI NENO KUJITEGEMEA
CHAWA ANATEGEMEA WATU WAFANYE KAZI YEYE AWALAMBE NANILIYUU ILI AISHI
We kaendelee kutukuza watu ili uishi.
 
Back
Top Bottom