Kipindi nasoma chuo kuna binti alijifanyaga sista duu.mara paa baba yake mzazi akafariki.
Rafiki yake wakaribu akatoa taarifa,tukajikusanya kukodi coaster kwenda msibani
Binti mfiwa kidogo adondike,alikuwa akiishi uswazi mwananyamala kisiwani,nyumba imechokaaa.
Aziz Ki mjinga sanaalimficha mama yake mzazi kwa miaka mingi,mara asememama yake alishakufa,mara atuonyeshe mshangazi mmoja mashaalah kuwa ndiomama yake kumbe ni meneja wake.
Kingole Hamisa Mobeto kwakufichuo ukweli,umemfukunyua mama mzazi wa Aziz Ki mpaka tumemuona mama mkwe
Mama mkwe anaonekana hatunzwi na hana furaha
Unaweza usimpende Diamond ila amejitahidi kuwatunza ndugu zake isipokuwa baba yake.ndugu wa Diamond wanatunzwa,wanakula wanashiba,wanavaa vizuri.
Konde boy pia niliona picha yababa yako amevaa tshirt ya 5000.dadayako alikuwa amesuka nywele za 2000
Biblia iko wazi,asiyetunza wa kwao atenda dhambi kuliko asiyeamini