bablai2020
Senior Member
- Sep 5, 2020
- 149
- 373
Wanatafuta 10%Siungi mkono Kujenga hii Bandari.
Na sijui kwa nini inashikiwa bango bila maelezo ya kutosha kuhusu Bandari ya Dar, Tanga na Mtwara.
Hivi uhitaji wa hii Bandari ni mkubwa kiasi hicho hata tuache shughuli nyingine tuweke nguvu hapo?.
Brain always finds the quickly outcomes..!Faida za shirika imara la ndege wewe huzijui, wenye kuzijua hawawezi kukuelewa. Haipo maana yenye kueleweka ya kuua sekta ya anga ili uinue sekta ya bandari.
Yaaani Bandari ya Bagamoyo itakayokuwa na Industrial park pamoja na kutengeneza mamilioni ya ajira ndo jambo la kipuuzi? Huna akili weweWote wanaoshadadia mambo ya kipuuzi makaburi yao yatakuja kufungwa pingu
Kama anatafuta 10% ili mamilioni ya ajira yapatikane kwa vijana wa kitanzania na Tanzania ndo iwe gateway ya mizigo Kwa ukanda wetu ni sawa tuWanatafuta 10%
Kwa akili zako ukisikia Bandari ya Bagamoyo unadhani sehemu ya kupakia na kupakua mizigo tu??Ni yaleyale kama ya ujenzi wa viwanja viwili vya michezo sehemu moja, Uwanja wa Benjamin Mkapa na ule Uhuru.
Kuna faida nyingi za kiuchumi tutazipata kama nchi endapo bandari za Mtwara na Tanga zitakapopanuliwa na kuweza kupokea shehena kubwa za mizigo badala ya kung'ang'ania ujenzi mpya wa bandari ya Bagamoyo ambayo ipo karibu sana kijografia na bandari ya Dar es Salaam.
Rahisi sana kuongea kama uelewa sio mpana kuhusiana na suala husika.Brain always finds the quickly outcomes..!
mradi wa hovyo kabisaMbunge wa Ilala ameomba muongozo leo Bungeni Dodoma kuhusu mpango wa Serikali kuanzisha mazungumzo tena ya bandari ya Bagamoyo kutokana bandari ya Dar es Salaam kuzidiwa na kutokuwa na uwezo wa kuingiza meli kubwa. Zungu amesema bandari ya Bagamoyo itapelekea kuanzisha viwanda, kuleta ajira na gateway kwa Bagamoyo.
Zungu amesema ulikuwa mpango wa Serikali kuanzisha Industrial Park Bagamoyo lakini wakapata mgogoro wa kimkataba.
Huna ujualo we mfuasi wa dikteta10% inatafutwa, sisi sio wajinga
La mwendazake litatiwa Moto kabisaWote wanaoshadadia mambo ya kipuuzi makaburi yao yatakuja kufungwa pingu
Zungu ni dalali Mpiga dili yule viwanja navyo vingi sana heka za kutosha wamezungushia fance wanangoja mradi uanze ccm bhana wanatamani malizo zote za nchi ziwe zaoHuyo anataka 10% ambayo ni mabillioni ya $$$. Kuwapa hao wachina for 99 years ni kuuza nchi. Jinsi wabunge wetu walivyo na akili ya kuku hilo litapita. Magufuli alipiga stop Hilo.
Bagamoyo sio deep natural port kama Tanga na Mtwara, kiukweli hakuna sababu za maana za kujenga Bagamoyo badala ya Tanga, kujenga hiyo bandari Bagamoyo ni kuiua bandari ya Dsm, je hili ni faida kwa nani ?Bagamoyo pia ingetanua Jiji la Dar Es Salaam maana miundombinu iloyopo ndio ina support bandari iendelezwe Bagamoyo. Mfano SGR ukaribu na Airport ya kimataifa kubwa.... N.k sasa Mtwara huko itahitaji tena usafirishe mpaka Dar ndio upeleke mkoani au uweze ku access Amenities nyingi hivyo inakua costly zaidi.
Nadhani kwa Bagamoyo ni viable zaidi pia ina naturap port yenye kina kirefu possibly kuliko za mtwara na wenzie.
Siungi mkono Kujenga hii Bandari.
Na sijui kwa nini inashikiwa bango bila maelezo ya kutosha kuhusu Bandari ya Dar, Tanga na Mtwara.
Hivi uhitaji wa hii Bandari ni mkubwa kiasi hicho hata tuache shughuli nyingine tuweke nguvu hapo?.
Kwani waliokataa mradi huu siyo walewale wakiongozwa na hayati? Naona akili zao zinaanza kurudi polepole.Mbunge wa Ilala ameomba muongozo leo Bungeni Dodoma kuhusu mpango wa Serikali kuanzisha mazungumzo tena ya bandari ya Bagamoyo kutokana bandari ya Dar es Salaam kuzidiwa na kutokuwa na uwezo wa kuingiza meli kubwa. Zungu amesema bandari ya Bagamoyo itapelekea kuanzisha viwanda, kuleta ajira na gateway kwa Bagamoyo.
Zungu amesema ulikuwa mpango wa Serikali kuanzisha Industrial Park Bagamoyo lakini wakapata mgogoro wa kimkataba.
Jambo la msingi ni kuboresha bandari zilizopo za dar, Tanga na Mtwara... Bandari ya bagamoyo ni ufisadi na mwiba kwa bandari zilizopo...
Kuboresha bandari ya tanga ni vizuri ukizingatia bomba la mafuta kutoka Uganda litaishia pale...
Mkuu, anatekeleza ilani ya Uchaguzi ya CCM - Kuhusu bandari kulikuwa na upotoshwaji tunaambiwa.Huyu mzee ameshatuona sisi ni wajinga tutafanya Kila anachosema.
Who does he think he is??
Wewe ulitakaje? Ongeza na mambo mengine mengi aliyofanya ndani ya siku 100Ngoja tuunge dot....
- Ndugai
- Zungu
- Bagamoyo sugar
- Singh
- Msofe
- Kutosikika/kung'aa kwa PM
- VP kupotea kwenye medani
- Katiba mpya kukataliwa
- Kufuta mashitaka na kuachiwa tycoons
- Manji kurudi
- Kusafisha Kamati kuu
- Wateule wa awamu ya nne kurudi
- Raisi kusisitiza ulazima wa Industrial park bila kuweka bayana nini ilikuwa mbaya na nini imeboreshwa, kwa kutuwekea bayana tuchambue wenyewe.
- Bandari zote 3 zinapanuliwa kwa gharama kubwa, udogo huo unatoka wapi?
- Znz kuchomoza kwenye picha ya Tanganyika
- Mikopo lukuki ndani ya siku 100
- Kuongea na Jin(Bandari ya bagamoyo itahusika)
- Rais wa Botswana na BFM
- Znz, Dar, Dom cylce
- Kulipa malimbikizo na kupandisha madaraja
Mungu nisaidie niione TZ ijayo, maana nimeikutia kati, sijui ilipotoka, sijui inapokwenda, ila najua ilipo kwa sasa; Kazi iendelee.
Kuboresha matumbo yao mpaka yapasuke. Wapo kuvimba matumbo, they are crooks, they should all be locked up at Keko.Jambo la msingi ni kuboresha bandari zilizopo za dar, Tanga na Mtwara... Bandari ya bagamoyo ni ufisadi na mwiba kwa bandari zilizopo...
Kuboresha bandari ya tanga ni vizuri ukizingatia bomba la mafuta kutoka Uganda litaishia pale...