bablai2020
Senior Member
- Sep 5, 2020
- 149
- 373
Wanatafuta 10%Siungi mkono Kujenga hii Bandari.
Na sijui kwa nini inashikiwa bango bila maelezo ya kutosha kuhusu Bandari ya Dar, Tanga na Mtwara.
Hivi uhitaji wa hii Bandari ni mkubwa kiasi hicho hata tuache shughuli nyingine tuweke nguvu hapo?.