Azzan Zungu ataka mazungumzo Bandari ya Bagamoyo kunusuru tatizo la ajira

Jambo la msingi ni kuboresha bandari zilizopo za dar, Tanga na Mtwara... Bandari ya bagamoyo ni ufisadi na mwiba kwa bandari zilizopo...

Kuboresha bandari ya tanga ni vizuri ukizingatia bomba la mafuta kutoka Uganda litaishia pale...
Na Uganda wataitumia kwa sehemu kubwa na kupunguza kuitegemea Mombasa kwa sehemu kubwa.

Bagamoyo kuna jambo lisilo la kawaida. Ni Bagamoyo iliyoiua Mwambani Tanga bila ya maelezo yoyote.
 
Jamani mwenye CV ya Zungu atupe maana huyu jamaa amejiunga na Vimeo vya taifa Kama sir baya, mzee Halima, Ndugu yai na Sasa Zzunggu.
 
Mungu nisaidie niione TZ ijayo, maana nimeikutia kati, sijui ilipotoka, sijui inapokwenda, ila najua ilipo kwa sasa; Kazi iendelee.
Naona "hujafunguliwa mipaka" mkuu wangu Ndalilo. Orodha yako hiyo ndefu ni fikirishi sana.
 
Zungu katoka kutuletea balaa pendekezo la kodi za laini na likapita hili nalo litakuja soon.

Hii nchi hii.
 
M
Mzee anazeeka sasa, akili zinarudi utotoni. I think hii iwe awamu ya mwisho awapishe kina Mjema sasa
 
Ujinga tunatofautiana. Mtu anayeitwa mbunge anapounda mafanikio ya ndoto na anayaleta kwenye mipango ya kitaifa, ni tatizo la nchi. Hebu kama kweli ana uwezo huo, atuletee mpango-kazi wa hiyo Bandari na viwanda vitakavyotokana na bandari hiyo na ajira zake. Atueleze na wawekezaji ni akina nani.

Anazungumza utadhani bandari ni bwawa la maji kwamba likijaa tu nyasi zitaota pembezoni. Hakuna haja ya kusema maneno ya kufurahisha utadhani wote sisi ni wala unga wa ilala.
 
Siungi mkono Kujenga hii Bandari.

Na sijui kwa nini inashikiwa bango bila maelezo ya kutosha kuhusu Bandari ya Dar, Tanga na Mtwara.

Hivi uhitaji wa hii Bandari ni mkubwa kiasi hicho hata tuache shughuli nyingine tuweke nguvu hapo?.

Hii bandari ni muhimu sana kuliko hata hizo bombadier na Dreamliner.
 
Ogezea; balozi Dau kuleta mwekezaji wa Malaysia kutusaidia kulima chakula (hatuwezi kulima)
 

Acheni kujifanya wajuaji wakati hamjui chochote kuhusu huo mradi wa bagamoyo, Rais anajua anachokifanya, so tumwacheni.


Tunamuombea kila la heri Mungu ampe afya na umri mrefu.
 
Pamoja nasapoti hii bandari kujengwa kama maslahi ya nchi yatazingatiwa, Ila huyu babu wa masalia ya kiarabu anaboa sana. Alikuwa Mwenyekiti wa Bunge na walishindwa kumshauri Rais Magufuli wakati alipodanganya au kudanganywa kuhusu huu mradi leo anakuja na pua yake kama Pinocchio fweeeeee. Pambafu kabisa.

Mradi umechelewa sababu ya maujinga ya watu kisa waliona mkwere atafaidika sana mbona wao wanafaidika na miradi ya kujenga meli ziwani, Daraja like na uwanja wa Chato?
 
Bagamoyo sio deep natural port kama Tanga na Mtwara, kiukweli hakuna sababu za maana za kujenga Bagamoyo badala ya Tanga, kujenga hiyo bandari Bagamoyo ni kuiua bandari ya Dsm, je hili ni faida kwa nani ?
Inaiuaje? Btw ukarabati wa Tanga ushafanyika na Mtwara pia unafanywa kitambo sasa so ni Bagamoyo ndio haina serious investment mind you ilani ya CCM imeahidi hili sio kwamba Bila china kusingekua na port development hapo.

Bandari ya Bagamoyo ita complement ya Dar sio kuiua kwa sababu service sector itapanuka sana na faida yake itakua zaidi hata ya mapato ya bandari yetu kwa mwaka. Embu fikiria makampuni mangapi ya logistics, Bima,ndege,Marine, n.k yatakua pale Bagamoyo huoni yatachochea uchumi na hta kuchochea operation za Air Tanzania/SGR?
 
Siungi mkono Kujenga hii Bandari.

Na sijui kwa nini inashikiwa bango bila maelezo ya kutosha kuhusu Bandari ya Dar, Tanga na Mtwara.

Hivi uhitaji wa hii Bandari ni mkubwa kiasi hicho hata tuache shughuli nyingine tuweke nguvu hapo?.
WANAIPIGIA DEBE HII BANDARI WAKIJUA WAZI KABISA MIKATABA IMEFICHWA, YANI MIKATABA YA HII BANDARI NI SIRI NA WALAANIWE WAO NI VIZAZI VYAO NA VIBABU VYAO VILIVYOISHA KUFA
 
ULAANIWE WEWE NA UZAO WAKO WOTE, NA KABABU KAKO KALE KALIKO KUFA KALAANIWE PIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…