TICS ni kitu gani bwana mkubwa?Umuhimu wa bandari sio tatizo,tatizo ni mapato yatokanayo na bandari yanamnufaisha nani?
Hata hiyo Dar Port,container terminal kwa undani anaefaidika ni TICS siyo TPA sababu ya mikataba mibovu.
Iwe kupanua bandari za Mtwara, Dar na Tanga au Kujenga bandari upya kama Bagamoyo,Kilwa n.k,tusiwabebeshe wananchi mzigo mzito wa madeni wakati mfaidika au wafaidika ni watu wachache.
Mkataba wa ujenzi wa Bagamoyo uwekwe wazi ili umma ujue mazuri na mabaya yaliomo.
Mambo mengine kama huyajui nakushauri bora ukae kimya badaya ya kujidhalilisha...hizo meli kubwa haziwezi kuingia Dar, kwanini zisipelekwe mtwara ambayo ni natural port mpaka hapo mtakapo baadaye miaka 10 au 20 inayo kuja baada ya wachumi na wana sheria kuupitia vizuri,sio wanasiasa.
TICTS-: Tanzania International Container Services (TICTS) CompanyTICS ni kitu gani bwana mkubwa?
Oh kumbe TICTS... maana niliona TICS nikadhani kuna kampuni nyingine tenaTICTS-: Tanzania International Container Services (TICTS) Company
Tanzania international Container Terminal Services Ltd....TICTS-: Tanzania International Container Services (TICTS) Company
Nashukuru wewe umenielewa vizuri sana,ikiwa mkataba wake utazuia utendaji wa bandari zingine na pia kuzuia MAMLAKA zetu katika kukusanya mapato ni kwamba #MRADI_HUO_HAUTUFAI.Bandari ya Bagamoyo haiwezi kujengwa pasipo kuzuia utendaji wa bandari zingine, ni sharti la lazima linasemwa kuwepo ndani ya mkataba. Huwezi kupata vyote.
Nashukuru wewe umenielewa vizuri sana, ikiwa mkataba wake utazuia utendaji wa bandari zingine na pia kuzuia MAMLAKA zetu katika kukusanya mapato au kupata mapato ya 50% ni kwamba #MRADI_HUO_HAUTUFAI.Bandari ya Bagamoyo haiwezi kujengwa pasipo kuzuia utendaji wa bandari zingine, ni sharti la lazima linasemwa kuwepo ndani ya mkataba. Huwezi kupata vyote.
Two wrongs can't make it right. Kwa mtindo wako huu tutakuwa tunakosea kila siku...Je, watanzania tunajua kilichomo ktk mikataba ya ujenzi wa sgr au stieglers gorge?
Na mlivyo wajinga mkapokea rushwa yake mkapiga kampeni ashinde na kuiba kura mlimsaidiaZungu mawazo yake hayana faida Kwa taifa kashindwa kuiongoza Ilala kuwa na barabara nzuri kwa kipindi chote Cha ubunge wake.
Kwani la kule lishapigwa pingu 🤣🤣🤣Wote wanaoshadadia mambo ya kipuuzi makaburi yao yatakuja kufungwa pingu
Two wrongs can't make it right. Kwa mtindo wako huu tutakuwa tunakosea kila siku.
Wataboresha matumbo yao mpaka yapasuke. Wanasiasa bongo ni wezi! All of them are morons!Jambo la msingi ni kuboresha bandari zilizopo za dar, Tanga na Mtwara... Bandari ya bagamoyo ni ufisadi na mwiba kwa bandari zilizopo...
Kuboresha bandari ya tanga ni vizuri ukizingatia bomba la mafuta kutoka Uganda litaishia pale...
Wamekula hapo mabillioni. Hivi kwa nini wasiwajibike wakimaliza muda wao? Mama kazi ni panga pangua na kusafri nje na bombardier.RIP Magufuli...ninachopendekeza ni uwazi ktk miradi yote tukianza na sgr na stieglers.
..tazara ilijengwa kwa miaka 5 toka Tz mpaka Zmb. Lakini sgr kipande cha Dar to Moro kinakwenda mwaka wa 4.
..pia hakuna sababu za msingi zilizotolewa za kuruka kipande cha Makutupora - Tabora - Isaka badala yake tumekwenda kuanza ujenzi Isaka - Mwanza.
Wamekula hapo mabillioni. Hivi kwa nini wasiwajibike wakimaliza muda wao? Mama kazi ni panga pangua na kusafri nje na bombardier.RIP Magufuli.
“Hela ya uzalendo “ 😂Huyu shoga ameleta hoja yake ya sie kuchajiwa hela ya uzalendo kila tukiweka vocha, kaona haitoshi sahizi ameanza na chokochoko za bandari khabaith kabisa huyu mzee simpendi.
Nikadhani ulimaanisha kwasababu hiyo mikataba ya Stiglers na SGR hatuijui, basi na huu wa Bagamoyo tuupotezee tu...ninachopendekeza ni uwazi ktk miradi yote tukianza na sgr na stieglers.
..tazara ilijengwa kwa miaka 5 toka Tz mpaka Zmb. Lakini sgr kipande cha Dar to Moro kinakwenda mwaka wa 4.
..pia hakuna sababu za msingi zilizotolewa za kuruka kipande cha Makutupora - Tabora - Isaka badala yake tumekwenda kuanza ujenzi Isaka - Mwanza.
Sorry nimeambiwa wewe unajua sana than any other person(s), so we should listen / or agree with UMambo mengine kama huyajui nakushauri bora ukae kimya badaya ya kujidhalilisha..