BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
6.5m duh salary Kubwa sana hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha upuuzi kitenge EFM alikua anakula 16M
Maprofesa wengi tu wanalipwa zaidi ya 6mHata prof wa chuo halipwi hivyo.
yeah ni kweli, na anahitaji TSh. 25m kila mwezi, pesa ambayo hua anaingiza kila nusu saaHivi huwezi kuona kama nyumba ni Property?
Hata Mimi Nina property nahitaji madalali wanitafutie wapangaji.
Walichokosea ni kuleta siasa mwenye media, kumsimamisha Gerald Hando ulikuwa ni upumbavu mtupu.Basi yaonesha Wasafi ilishuka sana hadi wakahitaji booster.
EFM walikosea wapi haijulikani
Clouds kwa mbali yeye anaendelea kuwepo tu, ngoja hawa wavurugane
Maprofesa wengi wangekuwa wanalipwa hivyo wasingekuwa wanakimbilia kwenye kusaka teuzi za kisiasa🐒Maprofesa wengi tu wanalipwa zaidi ya 6m
Maprofesa wengi wangekuwa wanalipwa hivyo wasingekuwa wanakimbilia kwenye kusaka teuzi za kisiasa🐒
Huo mfano wala hajui, ukiona mtu ana nyumba ya kuishi barabarani halafu anaweka fremu elewa tu huyo ni matatizo ya Ki pesa ndio yanamlazimu. Rinaldo hiyo ni asset alishatega, siyo atoke kucheza mpira aende kucheza show hotelini.yeah ni kweli, na anahitaji TSh. 25m kila mwezi, pesa ambayo hua anaingiza kila nusu saa
hoja kwangu ni kwamba, kulipwa 6m kwengine , haihusiani kufanya u-mc upande mwengine
hoja ni kwamba kwanini unakataa hao jamaa hawawezi lipwa 5m kwa mwezi ?Huo mfano wala hajui, ukiona mtu ana nyumba ya kuishi barabarani halafu anaweka fremu elewa tu huyo ni matatizo ya Ki pesa ndio yanamlazimu. Rinaldo hiyo ni asset alishatega, siyo atoke kucheza mpira aende kucheza show hotelini.
Mimi nyumba yangu iko mtaani kabisa na mtaa umechangamka lakini sitaki hadithi za kuweka fremu kwenye residence.
Commercial property ni commercial property na residence ni residence tu.
UFM unamuongelea Bakhressa hapo ujuwe.Hizi radio zijifunze kwa UFM, unagroom watangazaji wako, unaweka creative team ambayo ndo itaamua vipindi viwe vya style gani, itawasave sana pesa
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Stereo na Mono bila shaka unavielewaUkimaanisha kwamba?
Kweli na kwa sasa sidhani kama wanaweka mikataba mirefu maana inawafunga.Walichokosea ni kuleta siasa mwenye media, kumsimamisha Gerald Hando ulikuwa ni upumbavu mtupu.
Ninachojuwa kuhusu Kitenge sidhani kama anaishi kwa kutegemea hizo media, ndio maana anahama anavyojisikia lakini siyo swala la maslahi, huyo jamaa ana mambo yake mengine kabisa.
Kwa sababu najuwa mishahara ya redio station.hoja ni kwamba kwanini unakataa hao jamaa hawawezi lipwa 5m kwa mwezi ?
Hakuna mkataba wa kazi unaomfunga mtu, formula ni ileile kama unaondoka kabla ya kumaliza mkataba unatowa notice ya mwezi mmoja na kusurender mshahara wa mwezi huo, au unamlipa cash muajili wako na kuondoka immediately.Kweli na kwa sasa sidhani kama wanaweka mikataba mirefu maana inawafunga.
Pia watangazaji wengi kwa sasa wataka uhuru wa kuendeleza au kumiliki kazi zao za kibunifu
sababu ya marupurupukuwa DC huwa hawakatai?