B Dozen, Oscar, Kitenge na Hando wameondoka EFM. Kitenge na Hando watua Wasafi

[emoji23][emoji23]
 
Kwani hakuna kuachana kwenye ndoa jaman? Huyu anatoka sababu mama ubaya ana gubu mnoo.
Uke wenzaa mchezoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo dozen ameamua kusarenda adi mume?ila mama ubaya mtata kweli umeona vita yake na mange leo?mange kasema mama ubaya na mmewe wana ukimwi,mama ubaya akamwambia wapime live afu wagawane faida ila mange akamjibu kwasababu ameshatumia dawa mda mrefu kipimo kitasoma negative,kunawaka moto huko insta leo! kwa utata ule wa mama ubaya dozen lazima abwage manyanga🤣🤣🤣🤣
 
Mama ubaya wa mchezo?? Anavyojibu mashabiki insta ndo nachokaa kabisaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Dozen hamuwezi mama ubayaa, na alivyo mpolee bora akimbieee, ila hawaachani Dozen na Baba G, wametoka mbalii mnoo.
 
Mama ubaya wa mchezo?? Anavyojibu mashabiki insta ndo nachokaa kabisaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Dozen hamuwezi mama ubayaa, na alivyo mpolee bora akimbieee, ila hawaachani Dozen na Baba G, wametoka mbalii mnoo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mama ubaya kazi anayo
Atakua anatamani apate dawa za kumroga dozen aachike🤣🤣🤣🤣
 
Kwa hiyo unataka kusema professor analipwa 3m?
Ni kati ya 3.8M - 4.8M kutegemea na rank Associate professor - Full professor. Maprofesa ambao utawaona wapo vizuri kiuchumi huwa hawategemei mishahara sana utakuta ni miradi na tafiti hizo ndio huwa zinawaletea mpunga mrefu, wakikosa hizo au wakichoka ndio utawaona wanakimbilia kwenye siasa.

Kuna wengine ambao wamestaafu lakini wanaendelea kufundisha bila mkataba wa kueleweka (wanapiga semester to semester) ukisikia hela wanayolipwa ni frustrations, huwa wanafanya ili angalau kujiweka busy tu asikae nyumbani akapata msongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…