Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Sinza hii hii au kuna sinza nyingine ?Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa.
Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana, Shikamoo, Angel Bar, Marahaba, Dagaa Dagaa na nyinginezo nyingi.
Siku hizi Tabata unakutana na Small Planet, Kitambaa Cheupe, Barakuda, The Great, Kwetu Pazuri(Twest) na nyinginezo nyingi zinazoibuka kila mahali.
Leo asubuhi nawahi kazini nakutana na convo imebebana wamelewa chakari na vyupa mkononi, nikasema kweli Tabata imekuwa mpya. Tetesi za mahospitali nimesikia pia imekuwa makao makuu ya UTI sugu.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Wolper alikanushaga mpaka kilio juu
π€£π€£π€£π€£π€£π€£yaani ni kama ina kitoto chake pembeni
ππππ€Nami nilikutana na kama yako cha ajabu nikaenda round mbili ndo nikasema kweli mi ni fisi, ujue mwanamke unampata alafu zinaanza stress za kujua ana uchi gani
Sasa mkuu ingependeza uzi uanzishe wewe...Title ya Uzi ingefaaa kuwa hivi, Machimbo ya walevi
Jamaniiii....uke wangu nisiujue hali inayopitia kweli....Mpendwa wewe umejuaje sasa??
View attachment 2972103
Niliacha kutoka night-club asubuhi baada ya kukutana na wanafunzi wangu barabarani mitaa ya Ben Pub Kinondoni wanaelekea kanisani.
Niko chweeee.....wakanipokea mkoba nayumba balaa.
Mpaka leo, ikifika saa 8 usiku ni mwisho wa kukaa bar/nightclub.
Sitaki dhalili mimi.
Kutoka asubaaa....Sasa apo umekimbia nini? [emoji16]
Waliokuwa wala bata wa Sinza wameshakuwa watu wazima na wengi wamehama wanaishi sehemu mbalimbali za jiji au nje ya Dar
Hata kama wanakula bata ni lile la mtu mzima mwenye majukum
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa.
Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana, Shikamoo, Angel Bar, Marahaba, Dagaa Dagaa na nyinginezo nyingi.
Siku hizi Tabata unakutana na Small Planet, Kitambaa Cheupe, Barakuda, The Great, Kwetu Pazuri(Twest) na nyinginezo nyingi zinazoibuka kila mahali.
Leo asubuhi nawahi kazini nakutana na convo imebebana wamelewa chakari na vyupa mkononi, nikasema kweli Tabata imekuwa mpya. Tetesi za mahospitali nimesikia pia imekuwa makao makuu ya UTI sugu.
Soccer City, 5N, The Calabash
Ili isiwe over rated , wapi panapazidi sinza hapa kibongo bongo?Sinza is overrated ila sio mbaya kibongo bongo ni classic tu
Bro, umepita lini pale? au una mda gani hujaja Dar? Bari haipoIla Hongera Bar haitakaa ife. Naifananisha na Parma Bar ya Arusha.
Mkuu tabata inakuja juu...sinza huwez kuta kijana akawa ana miliki nyumba pale akiwa na umri wa miaka 25..labda awe amerithi....na hata mahakamani kesi nyingi za urithi ni kinondon...sinza..:Ili isiwe over rated , wapi panapazidi sinza hapa kibongo bongo?
Kuna time alikuwa anashinda governors kwule yaaah tule mwenye rasta ndio kaachiwa zile frame pale aisee noma kweliπππ
Unamkumbuka Astrda tomboy wa kule Copacabana, akataka niwe mpenzi wake.
Kwanza mie sikujua kama tomboy, siku hiyo tumelewa pale Babuu Bar nikaenda kulala kwake maana alikuwa rafiki yangu.....ile nashtuka usingizini, nakuta ananinyonya kisimi...alooo!!!
Yule tomboy pembeni ya Ben Pub ndie alikuwa don wa matomboy Kinondoni.
Kaachiwa nyumba ya urithi na frem zile.
Ana rasta hv...
Yaaah namkumbuka ila wale mademu bwana wana nyege na mademu wenzao, kuna siku nlikuwa ben pale wakaja walikuwa na birthday party ikabid me niage zangu pambano yamekuja kila mtu na beb wake alafu yule rasta ndio inchargeπππ
Unamkumbuka Astrda tomboy wa kule Copacabana, akataka niwe mpenzi wake.
Kwanza mie sikujua kama tomboy, siku hiyo tumelewa pale Babuu Bar nikaenda kulala kwake maana alikuwa rafiki yangu.....ile nashtuka usingizini, nakuta ananinyonya kisimi...alooo!!!
Yule tomboy pembeni ya Ben Pub ndie alikuwa don wa matomboy Kinondoni.
Kaachiwa nyumba ya urithi na frem zile.
Ana rasta hv...
wewe unaongelea sehemu za starehe au unaongelea kijana kumiliki nyumba?Mkuu tabata inakuja juu...sinza huwez kuta kijana akawa ana miliki nyumba pale akiwa na umri wa miaka 25..labda awe amerithi....na hata mahakamani kesi nyingi za urithi ni kinondon...sinza..:
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baa inaitwa Vatican city na WATU wametulia. Ingeitwa Makkah au Medina Bar sipati picha.
Wanaoishi Sinza sasa hivi ni vijana wanaofanya kazikwenye saloons na massage parlors, wanafunzi, wanenguaji, bar maids, na wauzaji wa mavaz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1]