Baada ya bandari kubinafisishwa kwa miaka 100, ninamuomba radhi chifu Mangungo

Mama sio mtananyika akimaliza mda wake anarudi mchambawima kwenda kulea wajukuu nyie mtajijua wenyewe na Tanganyika yenu
Kwa nini Hawa wazanzibar wanabinafisisha mali za tanganyika na isiwe Zanzibar. Prof mbalawa mzanzibar na Mama mzanzibar.
 
Attachments

  • IMG-20230606-WA0078.jpg
    IMG-20230606-WA0078.jpg
    50.4 KB · Views: 2
  • IMG-20230606-WA0077.jpg
    IMG-20230606-WA0077.jpg
    122.4 KB · Views: 1
  • IMG-20230606-WA0074.jpg
    IMG-20230606-WA0074.jpg
    69.5 KB · Views: 1
  • IMG-20230606-WA0071.jpg
    IMG-20230606-WA0071.jpg
    57.2 KB · Views: 1
  • IMG-20230606-WA0070.jpg
    IMG-20230606-WA0070.jpg
    35.8 KB · Views: 1
  • IMG-20230606-WA0059.jpg
    IMG-20230606-WA0059.jpg
    83.1 KB · Views: 2
  • IMG-20230606-WA0085.jpg
    IMG-20230606-WA0085.jpg
    66 KB · Views: 1
Kwa nini Hawa wazanzibar wanabinafisisha mali za tanganyika na isiwe Zanzibar. Prof mbalawa mzanzibar na Mama mzanzibar.
Ndo ujinga wa katiba tuliyonayo kanchi ka watu million 1.5 kanatawala linchi la watu ml 60 na zaidi na mbaya zaidi rasilimali zetu ambazo ni kwa manufaa ya vizazi vyetu vijavyo wanabinabafsisha wa manufaa yao binafsi ,aisee inauma sana
 
Kweli tupu.
 
NATAMANI KUWAOMBA MSAMAHA KINA CHIEF MANGUNGO
____________________
Kuna nyakati huwa Natamani Sisi Watanzania Kuwaomba Msamaha mababu zetu akiwemo Chief Mangungo kwa KUWACHEKA na Kuwa na HASIRA nao kwa kuingia Mkataba wa Ulaghai na Dr. Carl Peters wa Ujerumani ambao ndio uliidhinisha mwanzo wa utawala wa Kikoloni Karne ya 19.

Ni wazi kabisa kizazi chetu cha sasa kila kinaporejea kusoma namna mababu zetu walivyoingizwa Kingi kwenye mikataba ya ulaghai hasa kwa kumrejea Chief Mangungo wa Msowero hucheka na kuona walikuwa wajinga kiasi gani mpaka wakubali?

Lakini mababu hawa kina Chief Mangungo hawakuwa na elimu yoyote, hawakuwa wametembea sehemu mbalimbali yaani hawakuwa na exposure, mababu hawa walidanganywa kwasababu hawakuwa na elimu yoyote ya darasani na hata kutia saini walitumia dole gumba huku wakiwa hawaelewi kilichoandikwa.

Kizazi hikihiki cha baada ya Ukoloni, kizazi chenye elimu, kizazi kinachojua lugha zote rasmi duniani, kizazi cha kidigitali, kinashindwa kujiuliza na kuhoji na kuwacheka viongozi wake ambao wamekuwa wakisaini mikataba ya miaka ya zaidi ya 100 ambayo ndani yake kuna athari za kizazi na kizazi. Mikataba inayokuwa inamnufaisha mwekezaji zaidi na kuwanyonya wazawa.

Mikataba inasainiwa na viongozi waliosoma na kusomeshwa kwa fedha za umma na wana Degree, Masters na PhD, mikataba wanayosaini ni ya kinyonyaji na ya hovyo lakini mikataba inatetewa kwamba wawekezaji hawa wataongeza ajira na kizazi cha Kisomi kinafurahia na kushangilia, hakuna kuhoji, hakuna kuuliza. Ajira zinazoongezwa ni za Malipo ya bora mkono uende kinywani. Ajira zisizo za ukombozi wa kiuchumi.

Nimebahatika kuona mahali kwa macho yangu, Kiwanda ambacho kipo Tanzania eneo kilipo kuna makubaliano ya kimkataba miaka 100 kinazalisha nguo ambazo zinakwenda kuuzwa nje. Nguo zimeandikwa Made in China ila zinatengenezwa hapa kwetu. Kina wafanyakazi zaidi ya 400 (Mia nne) Mishahara wanayolipwa take home Yaani baada ya makato yote ni Sh. 90,000TZS na masaa ya kufanya kazi ni saa mbili asubuhi hadi saa moja usiku, Jumatatu hadi Ijumaa na Jumamosi ni mwisho saa nane mchana. Makontena na makontena huingia na kutoka kila wiki. Je, huyu mwekezaji ana Faida gani kwa nchi yetu kama sio unyonyaji ni nini?
Hivi mbele ya kizazi chenye wasomi lukuki viongozi wanathubutu kusaini mkataba wa kuuza bandari ya Dares salaam kwa miaka mia moja?
Je, mkataba kama huu, ulisainiwa na Mangungo? Kwanini tuwacheke wazee wetu ambao hawakuwa na elimu yoyote?

Natamani Kuwaomba msamaha kina Chief Mangungo.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.View attachment 2648183
Hivi wewe enzi za kina Mangungo ungeweza kwenda front kweli? [emoji2]

How come umeshindwa kukitaja hicho kiwanda
 
Mjumbe humjui Chief Mangungo bora ungekaa kimya. Mangungo walau alikuwa anapewa shanga na gobore. Wasaliti wetu wakubwa sasa hivi wanadai tumehuru na serkali za kichief, wameenda Ulaya kusaidiwa kusuka matusi. Walitetea wezi wa malanikia yetu hadi karibu yaishe. Waliuza ATC kwa makaburu, wakasaliti ndege zetu zikakamatwa na maadui, wanamtukana Shujaa wa Nji hii aliyeokoa makanikia yetu, akatugomboa Covid kwa kuunganisha toba za Maaskofu na Mufti kwa novena, kaleta standard gauge, na Stieglers Gorge waliyopinga mabeberu, lami mchi nzima na airports na shule na shpital - zamani zolikuwa zinaishia kumoja sasa wachache wao wanajitia wapinzani kutulaghai kisebusebu. Bsndari yetu iko salama ni win/win. Wachache wanaolalamika bado wangekataa hata kama ingekuwa the other way round. Hawo ndiyo Mangungo, worse than Mangungo.
 
Kwa hili JPM atakuwa ameshiriki kutusababishia haya kwakutuletea bunge ambalo haliwezi kupinga kitu ...Chonde wa heshimiwa kumbukeni hatima ya nchi ipo mikononi mwenu, mkishindwa kuzuia haya sijui majina yenu mtayazuiaje yasiwe sehemu ya historia hii ambayo natamani iwe ni ndoto za alinacha...
Kama watu ndiyo wajinga kama nyie bora bandari ibinafshwe Tu
 
NATAMANI KUWAOMBA MSAMAHA KINA CHIEF MANGUNGO
____________________
Kuna nyakati huwa Natamani Sisi Watanzania Kuwaomba Msamaha mababu zetu akiwemo Chief Mangungo kwa KUWACHEKA na Kuwa na HASIRA nao kwa kuingia Mkataba wa Ulaghai na Dr. Carl Peters wa Ujerumani ambao ndio uliidhinisha mwanzo wa utawala wa Kikoloni Karne ya 19.

Ni wazi kabisa kizazi chetu cha sasa kila kinaporejea kusoma namna mababu zetu walivyoingizwa Kingi kwenye mikataba ya ulaghai hasa kwa kumrejea Chief Mangungo wa Msowero hucheka na kuona walikuwa wajinga kiasi gani mpaka wakubali?

Lakini mababu hawa kina Chief Mangungo hawakuwa na elimu yoyote, hawakuwa wametembea sehemu mbalimbali yaani hawakuwa na exposure, mababu hawa walidanganywa kwasababu hawakuwa na elimu yoyote ya darasani na hata kutia saini walitumia dole gumba huku wakiwa hawaelewi kilichoandikwa.

Kizazi hikihiki cha baada ya Ukoloni, kizazi chenye elimu, kizazi kinachojua lugha zote rasmi duniani, kizazi cha kidigitali, kinashindwa kujiuliza na kuhoji na kuwacheka viongozi wake ambao wamekuwa wakisaini mikataba ya miaka ya zaidi ya 100 ambayo ndani yake kuna athari za kizazi na kizazi. Mikataba inayokuwa inamnufaisha mwekezaji zaidi na kuwanyonya wazawa.

Mikataba inasainiwa na viongozi waliosoma na kusomeshwa kwa fedha za umma na wana Degree, Masters na PhD, mikataba wanayosaini ni ya kinyonyaji na ya hovyo lakini mikataba inatetewa kwamba wawekezaji hawa wataongeza ajira na kizazi cha Kisomi kinafurahia na kushangilia, hakuna kuhoji, hakuna kuuliza. Ajira zinazoongezwa ni za Malipo ya bora mkono uende kinywani. Ajira zisizo za ukombozi wa kiuchumi.

Nimebahatika kuona mahali kwa macho yangu, Kiwanda ambacho kipo Tanzania eneo kilipo kuna makubaliano ya kimkataba miaka 100 kinazalisha nguo ambazo zinakwenda kuuzwa nje. Nguo zimeandikwa Made in China ila zinatengenezwa hapa kwetu. Kina wafanyakazi zaidi ya 400 (Mia nne) Mishahara wanayolipwa take home Yaani baada ya makato yote ni Sh. 90,000TZS na masaa ya kufanya kazi ni saa mbili asubuhi hadi saa moja usiku, Jumatatu hadi Ijumaa na Jumamosi ni mwisho saa nane mchana. Makontena na makontena huingia na kutoka kila wiki. Je, huyu mwekezaji ana Faida gani kwa nchi yetu kama sio unyonyaji ni nini?
Hivi mbele ya kizazi chenye wasomi lukuki viongozi wanathubutu kusaini mkataba wa kuuza bandari ya Dares salaam kwa miaka mia moja?
Je, mkataba kama huu, ulisainiwa na Mangungo? Kwanini tuwacheke wazee wetu ambao hawakuwa na elimu yoyote?

Natamani Kuwaomba msamaha kina Chief Mangungo.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.View attachment 2648183
Leo tunao Mangungo wengi isipokuwa Magu na Nyerere waliobaki wote bwabwa tupu
 
Aise kwa kweli Tanzania sasa inaliwa. Kweli Bunge letu mmeridhia??? Kipi tumeshindwa kusimamia wenyewe.? Ndege tumeshindwa, bandari tumeshindwa,mbuga zetu tumeshindwa,migodi tumeshindwa,VIWANDA tumeshindwa, n.k. je sisi tunaweza kusimamia Nini???nchi hii tunaipiga mnada tu, kuna Nini Dubai?? Masikini TANZANIA [emoji848][emoji848]
Kumbe mna bunge ?
 
Janvsa nmemsikia akimwambia GSM kwamba sasa hivi hawabanwi kwa hiyo hizo ambazo hawabanwi wazipeleke kwenye vilabu vya mpira!

Kwa maneno mengine hapo anamaanisha kuna kodi wanakwepa ila hawabanwi kwahiyo hizo wanazokwepa wapeleke kwenye mpira!

Huyo ndio rais wa nchi
Seriously??? What a statement!!
 
NATAMANI KUWAOMBA MSAMAHA KINA CHIEF MANGUNGO
____________________
Kuna nyakati huwa Natamani Sisi Watanzania Kuwaomba Msamaha mababu zetu akiwemo Chief Mangungo kwa KUWACHEKA na Kuwa na HASIRA nao kwa kuingia Mkataba wa Ulaghai na Dr. Carl Peters wa Ujerumani ambao ndio uliidhinisha mwanzo wa utawala wa Kikoloni Karne ya 19.

Ni wazi kabisa kizazi chetu cha sasa kila kinaporejea kusoma namna mababu zetu walivyoingizwa Kingi kwenye mikataba ya ulaghai hasa kwa kumrejea Chief Mangungo wa Msowero hucheka na kuona walikuwa wajinga kiasi gani mpaka wakubali?

Lakini mababu hawa kina Chief Mangungo hawakuwa na elimu yoyote, hawakuwa wametembea sehemu mbalimbali yaani hawakuwa na exposure, mababu hawa walidanganywa kwasababu hawakuwa na elimu yoyote ya darasani na hata kutia saini walitumia dole gumba huku wakiwa hawaelewi kilichoandikwa.

Kizazi hikihiki cha baada ya Ukoloni, kizazi chenye elimu, kizazi kinachojua lugha zote rasmi duniani, kizazi cha kidigitali, kinashindwa kujiuliza na kuhoji na kuwacheka viongozi wake ambao wamekuwa wakisaini mikataba ya miaka ya zaidi ya 100 ambayo ndani yake kuna athari za kizazi na kizazi. Mikataba inayokuwa inamnufaisha mwekezaji zaidi na kuwanyonya wazawa.

Mikataba inasainiwa na viongozi waliosoma na kusomeshwa kwa fedha za umma na wana Degree, Masters na PhD, mikataba wanayosaini ni ya kinyonyaji na ya hovyo lakini mikataba inatetewa kwamba wawekezaji hawa wataongeza ajira na kizazi cha Kisomi kinafurahia na kushangilia, hakuna kuhoji, hakuna kuuliza. Ajira zinazoongezwa ni za Malipo ya bora mkono uende kinywani. Ajira zisizo za ukombozi wa kiuchumi.

Nimebahatika kuona mahali kwa macho yangu, Kiwanda ambacho kipo Tanzania eneo kilipo kuna makubaliano ya kimkataba miaka 100 kinazalisha nguo ambazo zinakwenda kuuzwa nje. Nguo zimeandikwa Made in China ila zinatengenezwa hapa kwetu. Kina wafanyakazi zaidi ya 400 (Mia nne) Mishahara wanayolipwa take home Yaani baada ya makato yote ni Sh. 90,000TZS na masaa ya kufanya kazi ni saa mbili asubuhi hadi saa moja usiku, Jumatatu hadi Ijumaa na Jumamosi ni mwisho saa nane mchana. Makontena na makontena huingia na kutoka kila wiki. Je, huyu mwekezaji ana Faida gani kwa nchi yetu kama sio unyonyaji ni nini?
Hivi mbele ya kizazi chenye wasomi lukuki viongozi wanathubutu kusaini mkataba wa kuuza bandari ya Dares salaam kwa miaka mia moja?
Je, mkataba kama huu, ulisainiwa na Mangungo? Kwanini tuwacheke wazee wetu ambao hawakuwa na elimu yoyote?

Natamani Kuwaomba msamaha kina Chief Mangungo.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.View attachment 2648183
Wako biz na ma V8, kupokea ndege. Kusifiana. Kuwavuruga wakina Mpina. Masafari. Uchaguzi 2025. Kula Kwa kamba zao, kumponda MWAMBA. Kuhudhuria masherehe nk nk
 
Back
Top Bottom