Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Haya maandiko yananiacha na sonona. Mbaya zaidi we have no one to turn to. Hatuna bunge , serikali imejipachika ulanguzi. Hivi Mungu tumemkosea nini sisi watanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na vp kuhusu wachina wanaotaka kupewa bagamoyo?!!! Na vp kuhusu waingereza waliopewa migodi mvalimvali enzi na enzi?!!!!Madhara ya waarabu kuja kututawala.maana yeye anaasili ya huko uarabuni.ameamua kuwauzia waarabu wenzake ili siku akimaliza urithi wake arudi kwa waarabu wenzake na sisi kutuachia madhara ya huu mkataba wa kipumbavu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni Dili la bandari ya bagamoyo wamelileta kinyumenyumeHaya yatakuwa maajabu ya Karne, yaani majuzi tumegomea $12 billion za Bagamoyo kama awataki mkataba wa miaka 33 tena port wajenge wenyewe.
Halafu leo nchi isaink mkataba wa miaka 100 kwa uwekezaji wa $500m, tena kwa bandari ambazo zipo tayari.
Kama kuna ukweli ata huyo bwana godi atatususa, maana atubebeki ni gunia la misumari.
Sijui ikoje hiiWapi Bunge limejadili?
Kakoko alikuwa mtu sahihi, wa kuongoza bandari. Angeweza dadavua huo mkataba kinaga ubaga; tija ipo wapi.Hili ni Dili la bandari ya bagamoyo wamelileta kinyumenyume
Umeongea kweliKakoko alikuwa mtu sahihi, wa kuongoza bandari. Angeweza dadavua huo mkataba kinaga ubaga; tija ipo wapi.
Fair to current management ya TPA wamejaribu kuita waandishi wa habari kuelezea upande wao kwanini wanahitaji uwekezaji. Shida ni kwamba TBC, Azam na vyombo vingine ambavyo avijali cheap shorts awakuona umuhimu wa kuhudhuria.
Personal sijapenda vipande vya habari ambavyo Global TV na Millard Ayo vimeamua ku cover; based on what on what they thought it was important content.
Naelewa kwa upande wao, muhimu ni kuweka vitu wanavyodhani jamii inataka kusikia kwa uelewa wa uwezo wetu wa data usage na kukata mengine. But then if you are deeper you feel awakumtendea haki mkurugenzi na wasikilizaji kwa kutoa full interview.
That is why you need TBC involvement au taasisi husika kuwa wana channel zao kuhakikisha full interview is heard.
Not that ni wazalendo; mimi binafsi naamini Kakoko was the best.
Kweli kabisaHili ni Dili la bandari ya bagamoyo wamelileta kinyumenyume
Walichokitaka wamekifanikisha.
loliondo wamepewa waarab,bandar wanapewa waarab,mamikopo daily na yanaenda kuijenga zenji na mzigo wote atalipa mdanganyika yan ht sielewi nabaki na kizungumkuti[emoji56]
Maoni na Ushauri wa Wataalam wa Bunge ulikuwa ni huu - Je ulizingatiwa? Ndio ni kweli Bandari yetu ina shida kubwa hasa ya uzembe, kuendeshwa kwa hasara na upigaji - Je swala la kubinafsisha ni lini ilifanyika Mjadala wa Kitaifa watu watoe maoni- Uwekezaji ni mzuri ila ni hatari sana usipopelekwa kwa umakini na uzalendo. Kwanini miaka 100Walichokitaka wamekifanikisha.
Dar ndio lango kuu la nchi nane.
Ukoloni ni Rasmi Sasa.
Samia anaingia kwenye historia ya Rais aliyeamua kuturejesha utumwani.
Visiwa wamekodishwa/wameuziwaloliondo wamepewa waarab,bandar wanapewa waarab,mamikopo daily na yanaenda kuijenga zenji na mzigo wote atalipa mdanganyika yan ht sielewi nabaki na kizungumkuti[emoji56]
bd kodi na tozo kibao yaan tumekua km mbuzi mbele kamba nyuma fimbo[emoji848]
Uafrika hasa utanzania ni LAANA.Haya maandiko yananiacha na sonona. Mbaya zaidi we have no one to turn to. Hatuna bunge , serikali imejipachika ulanguzi. Hivi Mungu tumemkosea nini sisi watanzania
Hili ni Dili la bandari ya bagamoyo wamelileta kinyumenyume