Baada ya Bilionea Shami kudai kutishiwa maisha, wanaomdai wajitokeza na kumwambia alipe deni

Na alishawapa million 20 baada ya kumbana polisi
Huyo hajui biashara kubwa zinafanywaje
 
Kudadeki,asili ya wahindi utapeli.
Yani unamtapelije tapeli?!
Wata deal nae excrutiantly.
 
Haujamsikiliza vizuri bilionea ,sikiliza tena ,alisema baada tu ya week jamaa wakacancel biashara.....kwahiyo hiyo miezi sita ni kipindi cha mpito atarudishaje pesa zote 129.2m wakati na yeye wachina washamla panga la usd 18k?
Sasa Mkuu Umepewa kipindi cha mpito cha Miezi sita unashindwa kuleta Gari za watu??
Basi kama ana gari awape..

Hata gari likiwa lipo kiwandani haliwezi kuchukua Miezi sita kufika Tanzania..
Huo ni uongo..
Huyu Jamaa anajiita Bilionea ila ameshindwa kuwasilisha Bill of ladding ya watu waconfirm bado mnamuamini?

BILLIONEA AU Bill On Air
 
Hujui abc za biashara
Kumbuka walishacancel order week ya pili tu
 
UKisikiliza maelezo ya wote wawili utaona mangi ni muongo maana walifikia kipindi hadi wakapeana bill of lading feki maana yake ni kwamba hakuagiza kitu
Pili hata kama kalipa hiyo 18k kama anavyodai alete proof
Tatu balance ipo wapi ?alipe
 
Ndiyo maana anataka afungue kesi na kashamchukua mwanasheria wake ,proof zitawekwa mahakamani na si kwa Dalali(Mpigaji) Muliro.
 
Hujui abc za biashara
Kumbuka walishacancel order week ya pili tu
Walivyocancell order alirudosha pesa zao?
Au kama anavyosema huko walitaka kumkata 18k USD aliwapa hizo walizokata za usumbufu?
Mboma haonyeshi Doccuments za Kukatwa au za makato au bill of ladding au hata cancelled Process on landing..

Aseme alikuwa anafanya kazi ya usafirishaji kwa Kutumia kampuni gani?
Na Mbona hataki kuonyesha doccument za huko anakoagiza..
 
UKisikiliza maelezo ya wote wawili utaona mangi ni muongo maana walifikia kipindi hadi wakapeana bill of lading feki maana yake ni kwamba hakuagiza kitu
Pili hata kama kalipa hiyo 18k kama anavyodai alete proof
Tatu balance ipo wapi ?alipe
Na hui ndo ukweli
 
Kwani hili swala si yeye aliyolileta humu jf au? Muhindi kanyoosha story kama muhindi kadanganya mangi alete proof , tofauti na hapo alipe tu pesa ya watu siyo kusingizia story za muliro wakati hela alikula peke yake
 
Hivi unajua maana ya mkataba
Unataratibu za kuvunja ndo maana nikakuambia wewe biashara hufanyi

Mkataba unataribu zake za kuvunja nakupaje hela huku mkataba haujavunjwa
 
Kama alipewa BL fake hiyo inatosha kumpeleka mahalamani. BL ni document official kwenye international business
 
Kwani hili swala si yeye aliyolileta humu jf au? Muhindi kanyoosha story kama muhindi kadanganya mangi alete proof , tofauti na hapo alipe tu pesa ya watu siyo kusingizia story za muliro wakati hela alikula peke yake
Hawezi weka mkataba huku ule ni siri na unataratibu zake za kuuvunja hauvunji kihuni
Mkataba waliosaini ni wa millin 900

Mkataba unavynjwa kwanza ndo unarudisha fedha, umempa fedha yote kesho akirudi tena akikuambia umpe fedha sababu hamkuvunja mkataba

Kwanini huyo muhindi analazimisha apewe fedha kienyeji na asivunje mkataba kwanza
 
Pesa ni za kwake alilipa ili aagiziwe gari na haikuwa hivyo huyo jamaa yenu ni mwizi na kwa kusikiliza hoja zenu mmepanga kudhulumu sasa haya ni maisha msitegemee yule muhindi atawaacha shauri yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…