Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Na alishawapa million 20 baada ya kumbana polisiMkuu pitia vizuri maelezo ya bilionea ,alisema wale jamaa walighairi baada ya week moja tu....hiyo miezi 6 ni kipindi cha malumbano yao kwamba makanjiabai wanataka hela yote waliyolipa wakati mfanyabiashara hataki kulipa yote kwasababu na yeye amekatwa usd 18k na wachina.....Deal lilikufa ndani ya week moja tu yaani tangia mwaka jana sept mwishoni so angeendelea vipi kuleta magari wakati wateja washacancel?
Huyo hajui biashara kubwa zinafanywaje