Baada ya Bilionea Shami kudai kutishiwa maisha, wanaomdai wajitokeza na kumwambia alipe deni

Mkuu pitia vizuri maelezo ya bilionea ,alisema wale jamaa walighairi baada ya week moja tu....hiyo miezi 6 ni kipindi cha malumbano yao kwamba makanjiabai wanataka hela yote waliyolipa wakati mfanyabiashara hataki kulipa yote kwasababu na yeye amekatwa usd 18k na wachina.....Deal lilikufa ndani ya week moja tu yaani tangia mwaka jana sept mwishoni so angeendelea vipi kuleta magari wakati wateja washacancel?
Na alishawapa million 20 baada ya kumbana polisi
Huyo hajui biashara kubwa zinafanywaje
 
Baada ya Mfanyabiashara maarufu wa Magari Jijini Dar es Salaam, Samweli Shami maarufu kwa jina la Bilionea Shami kudai kuwa ametishiwa maisha na watu aliodai ni vigogo wa Polisi, amejibiwa na waliojitambulisha kuwa ni wahusika aliofanya nao biashara wakimtaka alipe fedha alizopewa na sio kulalamika mitandaoni.

Wasikilize mwenyewe hapa
Habari ya kwanza ni hii > Mfanyabiashara bilionea Dar es Salaam, adai kutishiwa maisha, akimbia kwa pikipiki kutoroka asiuawe hadi Arusha
Kudadeki,asili ya wahindi utapeli.
Yani unamtapelije tapeli?!
Wata deal nae excrutiantly.
 
Haujamsikiliza vizuri bilionea ,sikiliza tena ,alisema baada tu ya week jamaa wakacancel biashara.....kwahiyo hiyo miezi sita ni kipindi cha mpito atarudishaje pesa zote 129.2m wakati na yeye wachina washamla panga la usd 18k?
Sasa Mkuu Umepewa kipindi cha mpito cha Miezi sita unashindwa kuleta Gari za watu??
Basi kama ana gari awape..

Hata gari likiwa lipo kiwandani haliwezi kuchukua Miezi sita kufika Tanzania..
Huo ni uongo..
Huyu Jamaa anajiita Bilionea ila ameshindwa kuwasilisha Bill of ladding ya watu waconfirm bado mnamuamini?

BILLIONEA AU Bill On Air
 
Hujui abc za biashara
Kumbuka walishacancel order week ya pili tu
 
Mkuu pitia vizuri maelezo ya bilionea ,alisema wale jamaa walighairi baada ya week moja tu....hiyo miezi 6 ni kipindi cha malumbano yao kwamba makanjiabai wanataka hela yote waliyolipa wakati mfanyabiashara hataki kulipa yote kwasababu na yeye amekatwa usd 18k na wachina.....Deal lilikufa ndani ya week moja tu yaani tangia mwaka jana sept mwishoni so angeendelea vipi kuleta magari wakati wateja washacancel?
UKisikiliza maelezo ya wote wawili utaona mangi ni muongo maana walifikia kipindi hadi wakapeana bill of lading feki maana yake ni kwamba hakuagiza kitu
Pili hata kama kalipa hiyo 18k kama anavyodai alete proof
Tatu balance ipo wapi ?alipe
 
Ndiyo maana anataka afungue kesi na kashamchukua mwanasheria wake ,proof zitawekwa mahakamani na si kwa Dalali(Mpigaji) Muliro.
 
Hujui abc za biashara
Kumbuka walishacancel order week ya pili tu
Walivyocancell order alirudosha pesa zao?
Au kama anavyosema huko walitaka kumkata 18k USD aliwapa hizo walizokata za usumbufu?
Mboma haonyeshi Doccuments za Kukatwa au za makato au bill of ladding au hata cancelled Process on landing..

Aseme alikuwa anafanya kazi ya usafirishaji kwa Kutumia kampuni gani?
Na Mbona hataki kuonyesha doccument za huko anakoagiza..
 
UKisikiliza maelezo ya wote wawili utaona mangi ni muongo maana walifikia kipindi hadi wakapeana bill of lading feki maana yake ni kwamba hakuagiza kitu
Pili hata kama kalipa hiyo 18k kama anavyodai alete proof
Tatu balance ipo wapi ?alipe
Na hui ndo ukweli
 
sikujui ila kwa kauli zako nauhakika haufanyi biashara kubwa unafanya biashara za kawaida

Siku fanya biashara zenye hela nyingi ndo utaelewa nachomaanisha
Unaposema hana proof unataka kila kitu akuonyeshe ili iweje we mwenyewe unatumia jina bandia alafu akuonyeshe proof
Kwani hili swala si yeye aliyolileta humu jf au? Muhindi kanyoosha story kama muhindi kadanganya mangi alete proof , tofauti na hapo alipe tu pesa ya watu siyo kusingizia story za muliro wakati hela alikula peke yake
 
Walivyocancell order alirudosha pesa zao?
Au kama anavyosema huko walitaka kumkata 18k USD aliwapa hizo walizokata za usumbufu?
Mboma haonyeshi Doccuments za Kukatwa au za makato au bill of ladding au hata cancelled Process on landing..

Aseme alikuwa anafanya kazi ya usafirishaji kwa Kutumia kampuni gani?
Na Mbona hataki kuonyesha doccument za huko anakoagiza..
Hivi unajua maana ya mkataba
Unataratibu za kuvunja ndo maana nikakuambia wewe biashara hufanyi

Mkataba unataribu zake za kuvunja nakupaje hela huku mkataba haujavunjwa
 
Kama alipewa BL fake hiyo inatosha kumpeleka mahalamani. BL ni document official kwenye international business
 
Kwani hili swala si yeye aliyolileta humu jf au? Muhindi kanyoosha story kama muhindi kadanganya mangi alete proof , tofauti na hapo alipe tu pesa ya watu siyo kusingizia story za muliro wakati hela alikula peke yake
Hawezi weka mkataba huku ule ni siri na unataratibu zake za kuuvunja hauvunji kihuni
Mkataba waliosaini ni wa millin 900

Mkataba unavynjwa kwanza ndo unarudisha fedha, umempa fedha yote kesho akirudi tena akikuambia umpe fedha sababu hamkuvunja mkataba

Kwanini huyo muhindi analazimisha apewe fedha kienyeji na asivunje mkataba kwanza
 
Hawezi weka mkataba huku ule ni siri na unataratibu zake za kuuvunja hauvunji kihuni
Mkataba waliosaini ni wa millin 900

Mkataba unavynjwa kwanza ndo unarudisha fedha, umempa fedha yote kesho akirudi tena akikuambia umpe fedha sababu hamkuvunja mkataba

Kwanini huyo muhindi analazimisha apewe fedha na asivunje mkataba kwanza
Pesa ni za kwake alilipa ili aagiziwe gari na haikuwa hivyo huyo jamaa yenu ni mwizi na kwa kusikiliza hoja zenu mmepanga kudhulumu sasa haya ni maisha msitegemee yule muhindi atawaacha shauri yenu
 
Back
Top Bottom