ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,765
- 3,277
TumainiEl hata Mwl Mwakasege katika moja ya mahubiri yake 2023 aliwahi tamka maono ambayo kaoneshwa na Mungu kuwa viongozi wa Tanzania watafanya maamuzi ambayo hayatakuwq mazuri, hivyo akatusihi tusali sana. Naona hakika kuna kitu giza nene. Mungu adumishe Amani ya nchi yetu.Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
Moderator ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea.
Wewe jamaa mzushi sana. Uongo haukusaidii kituWenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
Moderator ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea.
Kwa hiyo hamkusali sana? Acha na manabii wa kupiga pesa haoTumainiEl hata Mwl Mwakasege katika moja ya mahubiri yake 2023 aliwahi tamka maono ambayo kaoneshwa na Mungu kuwa viongozi wa Tanzania watafanya maamuzi ambayo hayatakuwq mazuri, hivyo akatusihi tusali sana. Naona hakika kuna kitu giza nene. Mungu adumishe Amani ya nchi yetu.
Nyingine ni hii Mwaka huu mvua itanyesha sana😅😅😅Kabisa, ni sawa na kusema mwaka huu kuna kiongozi atakufa, kisha akifa kiongozi yoyote anajifanya alisema.
Hapana Mwl Mwakasege siyo nabii. Hata issue ya kufariki Dkt Magufuli alinena kabla kwa kusema yanakuja mabadiliko makubwa sana. Hata hili kuna mabadiliko yatatokea soon, kikubwa tumuombe Mungu watu sahihi washike nafasi za uongoziKwa hiyo hamkusali sana? Acha na manabii wa kupiga pesa hao
Sshoga wewe, ebu jaribu uoneWenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
Moderator ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea.
Na likatimie neno hili,Hili la bandari litamtoa Samia madarakani
Kkenge nyie,tutawashootHapana Mwl Mwakasege siyo nabii. Hata issue ya kufariki Dkt Magufuli alinena kabla kwa kusema yanakuja mabadiliko makubwa sana. Hata hili kuna mabadiliko yatatokea soon, kikubwa tumuombe Mungu watu sahihi washike nafasi za uongozi
Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
Moderator ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea.
Kaandika haraka kwa kifupi utadhani anaoga upenuni ukweni.Tuondoe tongotongo kidogo basi maana umetuacha njia panda
Acha tabia za kike taarabu nyingi halafu hazina maana wala ukweli.Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
Moderator ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea.
Hawa hawatabiri wala nini. Wanakuwa na clues za hayo mambo na huyasema kwa mafumbo.TumainiEl hata Mwl Mwakasege katika moja ya mahubiri yake 2023 aliwahi tamka maono ambayo kaoneshwa na Mungu kuwa viongozi wa Tanzania watafanya maamuzi ambayo hayatakuwq mazuri, hivyo akatusihi tusali sana. Naona hakika kuna kitu giza nene. Mungu adumishe Amani ya nchi yetu.
Kwenye semina yake ya mwisho Dar karibia semina nzima alikuwa akihimiza maombi kwa nchi na viongozi wake kwa sababu kuna jambo baya linakuja na watu inabidi kuomba sana kuliombea taifa na viongozi wake wakuu...TumainiEl hata Mwl Mwakasege katika moja ya mahubiri yake 2023 aliwahi tamka maono ambayo kaoneshwa na Mungu kuwa viongozi wa Tanzania watafanya maamuzi ambayo hayatakuwq mazuri, hivyo akatusihi tusali sana. Naona hakika kuna kitu giza nene. Mungu adumishe Amani ya nchi yetu.
"..... Rais 2025 ni Samia, labda mambo yaharibike sana kati ya sasa na wakati huo" Ilisikika sauti ya mwanaume mmoja Tanzania.Hapana Mwl Mwakasege siyo nabii. Hata issue ya kufariki Dkt Magufuli alinena kabla kwa kusema yanakuja mabadiliko makubwa sana. Hata hili kuna mabadiliko yatatokea soon, kikubwa tumuombe Mungu watu sahihi washike nafasi za uongozi
Mwenyekiti wa CCM hatoruhusu hilo ujueMam atapigiwa kura ya kuto kuwa na imani nae
KichekeshoWenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
Moderator ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea.