Usije kusema ni majaliwa ya Mungu.Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
Moderator ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea.
Au labda nimeshindwa kuelewaUsije kusema ni majaliwa ya Mungu.
Hakuna kitu.... Ni kawaida Kuna jambo jipya hutokea Kila siku au wiki au mwezi... Usitangulize kinywa chako ili uonekane unajua. Mvua kukosekana wakati wa masika ndio maajabu !!Aaaah we jamaa ni wasiojulikana... Matukio kibao yanakuja kuwa kweli...
Ishukuru JF kwa hizi fake ID, wewe ungekuwa verified member adhabu yako ilikuwa kutatuliwa marinda tu halafu kutoswa baharini huku umefungwa jiwe.Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
Moderator ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea.
Rubbish.Baada ya Bunge la Budget..... Keep tracking unseen
Kwani kuna wakati matukio yamewahi kuacha kutokea nchini?Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
Moderator ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea.
Sawaaaaaaa naHakuna kitu.... Ni kawaida Kuna jambo jipya hutokea Kila siku au wiki au mwezi... Usitangulize kinywa chako ili uonekane unajua. Mvua kukosekana wakati wa masika ndio maajabu !!
Kosa lake nini? Naona kaandika speculation tu kama ambazo wengine huandika sehemu zingine, na uzuri hajasema inahusu nini. Why umtukane?Ishukuru JF kwa hizi fake ID, wewe ungekuwa verified member adhabu yako ilikuwa kutatuliwa marinda tu halafu kutoswa baharini huku umefungwa jiwe.
Si kila unachokisoma humu umeandikiwa wewe, huyu ni shetani wewe ndio hujui, ushetani wake haupo kwenye thread hii, nikipata muda nitakuthibitishia.Kosa lake nini? Naona kaandika speculation tu kama ambazo wengine huandika sehemu zingine, na uzuri hajasema inahusu nini. Why umtukane?
Nimekuelewa, tuishie hapaSi kila unachokisoma humu umeandikiwa wewe, huyu ni shetani wewe ndio hujui, ushetani wake haupo kwenye thread hii, nikipata muda nitakuthibitishia.
Lisemwalo lipo .... kama haipo basi lajaWenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
Moderator ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea.
Kwa picha hii hana maslahi huyu mshika remote?"..... Rais 2025 ni Samia, labda mambo yaharibike sana kati ya sasa na wakati huo" Ilisikika sauti ya mwanaume mmoja Tanzania.
Kagame kaalikwa Dar. BT aliridhia?
Kuna wazo la bandari ya nchi kavu bwagamoyo, limetelekezwa na uncle kupewa bandari ya Dar. BT ana maslahi na huo mkataba?
Haya na mengine ndiyo. ".... mambo yakiharibika sana kati ya sasa na wakati huo".