Uchaguzi 2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

Hata hivyo tumeshajua kumbe aliomba hela za pikipiki za kuhonga wajumbe akanyimwa
 
Hahahaaaa...... Yale ni mambo binafsi bwashee.

Mfanyabiashara anatoa siri za mteja.....baniani bure kabisa!

Huyo mfanyabiashara sio taasisi ya fedha, angekuwa bank hapo ndio ingekuwa kosa kutoa siri.
 
Salaam,

Vipi braza ameshaanza kupost kampeni au anaendelea kubishana tu bila sababu?

Braza hamis sidhani kama atarudi kwenye hiyo nafasi tena maana hali itakua tete upande wake.

Na nasikia anatakiwa awe anapost kwa siku post 200 au ni uongo?
 
Dr Kigwangalla amesema Katibu mkuu wa CCM ni boss wake hivyo anatii agizo alilopewa la kuacha mara moja kulumbana na Mo Dewji na badala yake ajikite kwenye kampeni za chama...
Hiyo ndio CCM ninayoijua, mtu akisoea anaambiwa hapo hapo na kisha kujirekebisha. Sio kama watu wale.
 
Acha kuleta propaganda zilizopikwa halafu mwishowe zikagoma kufanikiwa. Amka ndugu.
 
Hizi fomu zilikuwa na lugha ya ccm? Maana wanaccm wote hakuna qliyekosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…