johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa...... Yale ni mambo binafsi bwashee.Mh. Hamis kanyimwa mkopo wa Toyo na Mwamedi....!
Mfanyabiashara anatoa siri za mteja.....baniani bure kabisa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa...... Yale ni mambo binafsi bwashee.Mh. Hamis kanyimwa mkopo wa Toyo na Mwamedi....!
Kama mtapata jimbo hata moja kanda ya ziwa, mtakua mumejitahidi sana.Hiyo kauli mbiu yako hapo mwishoni inakinzana na tunayoona ktk kampeni za kijani kanda ya ziwa
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Ila uyu mh anapenda sana mitandao
Matumaini yao yamebakia Kawe pekee!Kama mtapata jimbo hata moja kanda ya ziwa, mtakua mumejitahidi sana.
Hata hivyo tumeshajua kumbe aliomba hela za pikipiki za kuhonga wajumbe akanyimwaDr Kigwangalla amesema Katibu mkuu wa CCM ni boss wake hivyo anatii agizo alilopewa la kuacha mara moja kulumbana na Mo Dewji na badala yake ajikite kwenye kampeni za chama.
Tayari Dr Kigwangalla ameanza kupost picha za mikutano ya kampeni za Dr Magufuli katika ukurasa wake wa twitter kama alivyoagizwa na Katibu mkuu.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa...... Yale ni mambo binafsi bwashee.
Mfanyabiashara anatoa siri za mteja.....baniani bure kabisa!
Kama mtapata jimbo hata moja kanda ya ziwa, mtakua mumejitahidi sana.
Hata dukani kwa mangi mkopo ni siri ila kwa baniani mambo ni tofauti!Huyo mfanyabiashara sio taasisi ya fedha, angekuwa bank hapo ndio ingekuwa kosa kutoa siri.
Baniani kachafukwa hataki ujingaHata dukani kwa mangi mkopo ni siri ila kwa baniani mambo ni tofauti!
Hata dukani kwa mangi mkopo ni siri ila kwa baniani mambo ni tofauti!
Baniani mbaya Kiatu chake dawa.Hahahaaaa...... Yale ni mambo binafsi bwashee.
Mfanyabiashara anatoa siri za mteja.....baniani bure kabisa!
Mwenzie msigwa anapost hadi vitu vya chama ili tu kulinda nafasi yake
Hiyo ndio CCM ninayoijua, mtu akisoea anaambiwa hapo hapo na kisha kujirekebisha. Sio kama watu wale.Dr Kigwangalla amesema Katibu mkuu wa CCM ni boss wake hivyo anatii agizo alilopewa la kuacha mara moja kulumbana na Mo Dewji na badala yake ajikite kwenye kampeni za chama...
Acha kuleta propaganda zilizopikwa halafu mwishowe zikagoma kufanikiwa. Amka ndugu.KAULI MBIU HII YA UHURU, HAKI NA MAENDELEO NI TAMU SANA. LKN BAHATI MBAYA WANAOISISITIZA WAO HAWAITEKELEZI. CHADEMA HAKUNA UHURU, NI ZIDUMU FIKRA ZA MBOWE. UKITOFAUTIANA NAYE WEWE UNAITWA MSALITI. CHADEMA HAKUNA HAKI YA KUHOJI MAMBO MUHIMU KAMA MATUMIZI YA FEDHA ZA CHAMA. CHADEMA HAKUNA MAENDELEO NDO MAANA HAWAJAJENGA HATA OFISI MOJA TOKA KIANZISHWE CHAMA LICHA YA KUPATA RUZUKI YA ZAIDI SHS MILIONI 330 KILA MWEZI. KWA HIYO WANACHOKISEMA NA WANACHOKIFANYA NI TOFAUTI.
Hizi fomu zilikuwa na lugha ya ccm? Maana wanaccm wote hakuna qliyekoseaVYAMA VYA UPINZANI VIMESHINDWA KUWEKA WAGOMBEA, SASA YEYE AFANYEJE? WAKIWEKA WAGOMBEA WANAJAZA FOMU HOVYO HOVYO ILI WAENGULIWE NA KUANZA MALALAMIKO. WAGOMBEA WA UPINZANI WAKIPIMA MAJI NA WASHINDANI WAO WA CCM WANAONA MAJI MAREFU HAWAWEZI KUSHINDANA. KINACHOFUATA NI KUHARIBU FOMU MAKSUDI NA KUANZA KULALAMIKIA TUME YA UCHAGUZI KUWA WANAONEWA ILI KULETA KUVUTA ATTENSION ISIYOHITAJIKA.
Nyinyi ndio maji ya shingo, ndio mana mnashindwa hata kutype kwa kutetemeka
Karibu mkuu ndio nn?