Uchaguzi 2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

Uchaguzi 2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

Dr Kigwangalla amesema Katibu mkuu wa CCM ni boss wake hivyo anatii agizo alilopewa la kuacha mara moja kulumbana na Mo Dewji na badala yake ajikite kwenye kampeni za chama.

Tayari Dr Kigwangalla ameanza kupost picha za mikutano ya kampeni za Dr Magufuli katika ukurasa wake wa twitter kama alivyoagizwa na Katibu mkuu.

Maendeleo hayana vyama!
Hata hivyo tumeshajua kumbe aliomba hela za pikipiki za kuhonga wajumbe akanyimwa
 
Salaam,

Vipi braza ameshaanza kupost kampeni au anaendelea kubishana tu bila sababu?

Braza hamis sidhani kama atarudi kwenye hiyo nafasi tena maana hali itakua tete upande wake.

Na nasikia anatakiwa awe anapost kwa siku post 200 au ni uongo?
 
Dr Kigwangalla amesema Katibu mkuu wa CCM ni boss wake hivyo anatii agizo alilopewa la kuacha mara moja kulumbana na Mo Dewji na badala yake ajikite kwenye kampeni za chama...
Hiyo ndio CCM ninayoijua, mtu akisoea anaambiwa hapo hapo na kisha kujirekebisha. Sio kama watu wale.
 
KAULI MBIU HII YA UHURU, HAKI NA MAENDELEO NI TAMU SANA. LKN BAHATI MBAYA WANAOISISITIZA WAO HAWAITEKELEZI. CHADEMA HAKUNA UHURU, NI ZIDUMU FIKRA ZA MBOWE. UKITOFAUTIANA NAYE WEWE UNAITWA MSALITI. CHADEMA HAKUNA HAKI YA KUHOJI MAMBO MUHIMU KAMA MATUMIZI YA FEDHA ZA CHAMA. CHADEMA HAKUNA MAENDELEO NDO MAANA HAWAJAJENGA HATA OFISI MOJA TOKA KIANZISHWE CHAMA LICHA YA KUPATA RUZUKI YA ZAIDI SHS MILIONI 330 KILA MWEZI. KWA HIYO WANACHOKISEMA NA WANACHOKIFANYA NI TOFAUTI.
Acha kuleta propaganda zilizopikwa halafu mwishowe zikagoma kufanikiwa. Amka ndugu.
 
VYAMA VYA UPINZANI VIMESHINDWA KUWEKA WAGOMBEA, SASA YEYE AFANYEJE? WAKIWEKA WAGOMBEA WANAJAZA FOMU HOVYO HOVYO ILI WAENGULIWE NA KUANZA MALALAMIKO. WAGOMBEA WA UPINZANI WAKIPIMA MAJI NA WASHINDANI WAO WA CCM WANAONA MAJI MAREFU HAWAWEZI KUSHINDANA. KINACHOFUATA NI KUHARIBU FOMU MAKSUDI NA KUANZA KULALAMIKIA TUME YA UCHAGUZI KUWA WANAONEWA ILI KULETA KUVUTA ATTENSION ISIYOHITAJIKA.
Hizi fomu zilikuwa na lugha ya ccm? Maana wanaccm wote hakuna qliyekosea
 
Back
Top Bottom