Uchaguzi 2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

Inasikitisha sana jamaa anawagawa wana simba wakati huu wa kampeni kisa LOAN REFUSAL
 
Kigwa stole the glory. Thou shalt not use Twitter for sports that's blasphemous.We beseech thee.
 
Wote ni wana wa shamba la bwana heri sie embu tuendelee na lisu wasitutoe kwenye reli
 
Sa
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla kumzungumzia Mgombea wa Urais wa CCM, Dkt. Magufuli badala ya kuendelea na malumbano yake yanayohusu mpira dhidi ya Mmiliki wa Simba SC, Mohammed Dewji..
Saf sana,
Hakika CCM ni chama chenye nidhamu
 
Tumesikia na TUNATII...
 
Mo na Kigwangala wote matapeli tu. Hakuna msafi kati yao wote wezi tu. Tena acheni watiane spana ili CCM itoke kiurahisi. Inatakiwa watu wawachochee moto wana CCM ili wavurugike, huku kampeni zikiendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…