Uchaguzi 2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

kuna siku nyingine katibu mkuu amewahi kutoka hadharani na kukemea bila uovu wowote kutendeka?
kwann useme mamneno hayo wakati alikuwa anatimiza majukumu yake yakulinda nidhamu na image ya chama?
Umeufuatilia mwenyewe huo mjadala kati ya Mo na Kigwangala huko Twitter?

Huo mjadala una uovu gani au Nidhamu ipi anailinda kupitia mjadala ule?

Image ya CCM imeingiaje kwenye ule mjadala?

WanaCCM hawapaswi kuhoji au kutofautiana hata kwa mambo nje ya siasa?
 
Kabisa
 
hapana haipo hivo ndg hapa kwa busara wote Mo na HK wanamakosa, biashara ni makubaliano inakuaje wakati mnafanya biashara mlikuwa peke yenu then ghafla bin puuh mpo twitter kutueleza mabo yenu binafsi?
sio busara kuanika mambo binafsi kwa wasiohusika, unafikiri inaleta picha gani kwa wafanyakazi wdogo wanaotamani kwenda kwa Mo kupata mkopo kama alivyotaka kigwangala kwa mantiki aliyokujanayo HK?
tunaharibu kwingi bila kujua kama tunaharibu

kama kiongozi unapoona kunajmbo linataka kwenda kinyume na utartibu ni lazima uparekebishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…