Kuna jamaa yeye anakaa Mbezi, demu anakaa Kigamboni yaani mi kila siku namrukia mbaya zaidi jamaa anaonekana hampigagi gazi ya kutosha....Ubingwa unaazia hapo!!!Ni kaz sana kuyatunza mapenz ya mbali
1. Yale makontena yaliyobeba V8 na Range huliwa na Wakuu wa Idara na Maafisa wa HQ (Halmashauri/Bomani).Makotena mapya
Sex sio umalaya, Sex ni ONE of the BASIC NEED.Haya ndo matatizo ya kudhania kila mtu ana tabia za kimalalamalaya 🤣 🤣 , decent people hawakosekani kwenye jamii yoyote ingawa ni wachache otherwise wote tungekuwa na the same characteristics. Sasa kila wakati mtu akiwaza mapenzi, atafanya kazi kweli?
Mada ya leo umeua mbona😉1. Yale makontena yaliyobeba V8 na Range huliwa na Wakuu wa Idara na Maafisa wa HQ (Halmashauri/Bomani).
2. Yalibeba Verosa na Crown huliwa na MEK, Wakuu wa washule, na Watendaji Kata.
3. Yaliyobeba IST na SWIFT haya huliwa na maafisa wadogo kama walimu, madkatari na wengine.
to yeye Aione kwenye Jalada.
#YNWA
Habari bwana Liverpool VIPINTRODUCTION
Ashukuriwe Mhe. Raisi Mama Samia kwa kutuletea hizi ajira zaidi ya 11,000 hakika ameupiga mwingi.
PROBLEM
Ila Sasa nataka kuongea na kuuliza mabaharia MMEJIANDAAJE NA NDOA/MAPENZI YA BLUETOOTH kati yenu na hao wapenzi wenu?
SCENARIO
Unataka kunielewa?
Twende pamoja....
1. Upo Songea mkeo kapata ualimu Dar.
2. Upo Dodoma mchumba ako kapata post ya ajira ya unesi Mbeya.
3. Upo Sumbawanga, baby kawa mwalimu wa Kiswahili Iringa.
Sasa umejiandaaje?
Unajua huko anakoenda nako kuna wanaume?🤔🤔🤔🤔
CONCLUSION
Nikiwaambia msioe muwe mnaelewa.
Sasa mkeo/mchumba ako anapelekea mzigo wakulungwa ambao kwao ni mzigo mpyaaaa.
Haya bana, Mi waliopangiwa huku halmashauri yangu nawasubiri kuwakarimu kwa kuwapa ushirikiano wapate pakufikia.
Na infact hapa gheto nilikopanga Kuna self 2 double hazina wapangaji.
Mliopata ajira KARIBU KWENYE MATESO YA AJIRA ZA HALMASHAURI.
Anyway....
YANGA BINGWA
#YNWA
Nimependa ulivyomalizia, hayo mengine hayanihusuAnyway....
YANGA BINGWA
Kazi za halmashauri ni za mateso?
Ngoja kwanzaaa....Ndoa ni Agizo la Mungu. Unachofanya ni uhuni tu au Huna nguvu za kiume
Kiukweli jamaa ana point mpaka anakera. Yaani tayari kajipanga kuwapokea, kuwapeleka ghetoni (kwake) walale ili kesho yake waongee na mwenye nyumba awapangishie self hapohapo.Ila wewe mnokoooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu usiwatishe wenzio, wanawake sisi ni waaminifu sanaaa.
True,but we made it, i,made itNi kaz sana kuyatunza mapenz ya mbali
Wanaume wa mikoani tupo tayari kuwapokea wake zenu
Msiwatishe aisee! Inauma sanaWanaume wa mikoani tupo tayari kuwapokea wake zenu
HakikaInahitaji uwepo wa Mungu sana
Unaweza konda ufe kabisa kwa mawazo!!Hakika
Sisi kama wawakilishi wa wanaume wa mikoani tumejiandaa na tupo tayari kuwapokea mademu/wake zenu, Ahsante!Wanaume wa mikoani tupo tayari kuwapokea wake zenu