Baada ya Humphrey Polepole kuteuliwa kuwa Mbunge. Je, nani kuchukua nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndani ya CCM?

Naomba mawazo yenu.

Wakati joto likizidi kupanda kwamba ni Mbunge gani ataukwaa Uwaziri baada ya uteuzi uliofanywa Jana na Rais Magufuli kwa kumteua Hamfrey Polepole na hivyo kuongeza joto na pressure zaidi ya Baraza la Mawaziri, hebu tutupitie jicho nafasi aliyokuwa akiishikilia Polepole!

Mimi kwa mtazamo wangu nawaona watu wawili wana nafasi kubwa ya kushika/kuteuliwa kuvaa viatu vya Polepole! Na si wengine, ni David Kafulila au Paul Makonda. Wewe unampa nafasi kubwa Nani Kati ya hawa wawili!?

Ahsante. Nomba mawazo yenu.
 
Itachukuliwa na P. Mayala
 
Tangu ateuliwe Polepole kuwa Mbunge kumekuwa na minongono ya kuwepo mabadiliko ya nafasi yake katika sekretarieti na wengine wakieleza kuwa Polepole ataendelea kuwa Mbunge na Katibu Mwenezi na wapo wengine wakihisi mabadiliko ya sekretarieti yatatokea na hayataishia kwa Polepole tu.
 
Wamefanya kuongezea posho na mshahara na v8..ila komred ndo mwenezi wetu😂😂
 
Mhaya anataka abakie na wajinga jinga ili aweze kubomoa pakubwa
Ndio mana CCM tutatawala miaka 100 ijayo.

Wapenzi wa CHADEMA wanaijadili CCM,na kuionesha njia ya kuelekea pazuri zaidi ya sasa
 
Ndio mana CCM tutatawala miaka 100 ijayo
Wapenzi wa CHADEMA wanaijadili CCM,na kuionesha njia ya kuelekea pazuri zaidi ya sasa.
Utatawaliwa wewe na Utashikishwa adabu wewe. We're in the same boat don't shout brother... Wote tunakinywea Kikombe cha Watawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…