Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Nape hakufanya kazi ya uenezi kisasa na kisayansi.Hamna atapatikana tu mwingine,kumbuka nape nauye alipoingia bungeni nakuteuliwa polepole kwa muda mrefu sana poleple akaonekana kashindwa kuvaa viatu vya nape nauye mpaka ilipofika kipindi cha uchaguzi 2020 ndipo walau polepole ali shaini
Polepole was the best from day one.. sema mliozoea uenezi kelele za misemo na mbwembwe za majukwaani, propaganda za kizamani kama za akina Tambwe Hiza au Kibajaji mlimuona Nape anafaaa.
Nape alibebwa na kazi za Mzee Kinana na wenzie.