Baada ya Humphrey Polepole kuteuliwa kuwa Mbunge. Je, nani kuchukua nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndani ya CCM?

Baada ya Humphrey Polepole kuteuliwa kuwa Mbunge. Je, nani kuchukua nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndani ya CCM?

Paschal Malaya sorry Mayala hio nafasi ataimudu sawia kabisa, make ana njaa Kali na wenye njaa Kali ukimwambia hilo koleo/chepe kawatangazie kuwa ni kijiko kikubwa, bila aibu wala shida kabisa paschal kila mtu atamwanisha kile ni kijiko kikubwa.
 
WanaJf ni lazima tupendane.

Kwa namna mkuu Pascal Mayalla anavyoipigania CCM na kwa taaluma yake ya uandishi wa habari na sheria, ninamuona kama mtu sahihi katika nafasi iliyoachwa wazi na Polepole.

Wanaccm wenye mapenzi mema maoni yenu Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
Bwashee huwezi ukampa mtu nafasi nyeti namna hii huku ukijua kabisa ana njaa. Kama mnataka kukidhalilisha chama, mpeni muone.
 
WanaJf ni lazima tupendane.

Kwa namna mkuu Pascal Mayalla anavyoipigania CCM na kwa taaluma yake ya uandishi wa habari na sheria, ninamuona kama mtu sahihi katika nafasi iliyoachwa wazi na Polepole.

Wanaccm wenye mapenzi mema maoni yenu
Pasco namuona kama Mashinji tu!
 
Kwa mtazamo wangu, natabiri Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli atamteua David Kafulila kuchukua nafasi ya Bw Hamfrey Polepole ya Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa. Na ndivyo itakavyokuwa muda si mrefu kutokea sasa! Ni Kafulila tu. Niwatakie Jumapili njema.

Ahsanteni
 
Kafulila hawezi kazi ile.
Polepole ameacha viatu vikubwa sana kwenye nafasi ya karibu uenezi huko CCM.

Mchukie umpende lakini kazi aliiweza kitaalamu hasa, kama vile Dr. Wilbroad Slaa alivyoacha viatu vikubwa sana ukatibu mkuu wa CHADEMA.
 
WanaJf ni lazima tupendane.

Kwa namna mkuu Pascal Mayalla anavyoipigania CCM na kwa taaluma yake ya uandishi wa habari na sheria, ninamuona kama mtu sahihi katika nafasi iliyoachwa wazi na Polepole.

Wanaccm wenye mapenzi mema maoni yenu Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
Hjyo atazidi kuwapeleka chaka.
 
Back
Top Bottom