johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni wakati sasa wanawake wakapewa nafasi muhimu katika sekretarieti ya CCM, hivyo napendekeza nafasi hiyo safari hii iwaangalie zaidi dada zetu.
Kama vipi yule mwenezi wa CCM Zanzibar apandishwe cheo awe wa taifa ama DC Jokate aliyewahi kuwa Katibu wa uenezi na hamasa UVCCM atatosha kuvaa viatu vya Polepole.
Maendeleo hayana vyama!
Kama vipi yule mwenezi wa CCM Zanzibar apandishwe cheo awe wa taifa ama DC Jokate aliyewahi kuwa Katibu wa uenezi na hamasa UVCCM atatosha kuvaa viatu vya Polepole.
Maendeleo hayana vyama!